Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nimesoma comments za waja kuhusu Maguire kutishia kuondoka Man U baada ya ile assist yake, nikakumbuka namna Insider naye alivyopata kiburi baada ya kumla Iryn 🤣 🤣 watu sijui mliwaza nini kumbatiza jina jamaa
Nimecheka sana tisho na Maguire kuondoka Man Utd ni kijana fulani wa hovyo mno.
 
Iryn anasema “kilichotokea kati yetu ni ajali tu mana mama j ni rafiki yangu” at the same time anamwonea wivu bwana insider kukaa na demu bar[emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli wanawake hatujui tunataka nn na kuna muda tuna kaunafki sana eniweiii tuwe makini na hawa watu wanaosema ni marafiki zetu[emoji119][emoji119]
😂😂Maisha bila unafiki hayaendi.......
 
Upo bosi? Nikajua ulikufaga na Magufuli ukaja ukazikwa na Makonda. Umeadimika ajuza?

Hayo yote yanakuhusu wewe na yawe kivyako. Umebadili ID 😂😂😂 sikushangai ajuza wewe.. maana futi sita yenu inajifunika kila mara

Ungesoma Kila post ajuza ungenisoma.. nipo kama kawa

Kazi iendeleee..
 
Code nyingi tushazifungua wenyewe kwa Mfano Kwa Utafiti Wangu Mzee Pama Alizikwa Iringa Na Sio Tabora Na Alikua Mzee Mmoja White Hivi Suriama wa kijerumani INSIDER MAN@INSIDER MAN prove me wrong

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
Kwakua alikuwa anavaa Pama, basi ukajiongeza ni yeye,ila yule hakufia nje hata kama ni yeye hawezi kusema 😂
 
Back
Top Bottom