Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mimi nilifuatilia mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na maeneo ya matukio na baadhi ya picha alizokuwa anapost akiwa na Marehemu Mzee, lakini ratiba za flights kwenda Dodoma nikaprove ni kweli ila mm nilijua ukweli tangu mwanzo kuanzia mchezo wa uncle na ile compuni.

Ninafsi nakupendeza INSIDER MAN kwa kuweka kumbukumbu vzr. Una haki ya kuwa lifisi lenye meno makali
 
Usijione special sanaa na wewe na kutuinulia makwapa kwa huu uongo wako. Tumeanza kukuchoka na hauna mvuto tena.
 
Wanawake
 
Yeah sure! Unajua unapotaka kudanganya just knw that hayo maeneo kuna watu wapo uko kwhyo itakuwia vigum sana
 
daaah kweli anapaswa kuwa makani tupo na ma-pilot humu ndani
 
Code nyingi tushazifungua wenyewe kwa Mfano Kwa Utafiti Wangu Mzee Pama Alizikwa Iringa Na Sio Tabora Na Alikua Mzee Mmoja White Hivi Suriama wa kijerumani INSIDER MAN@INSIDER MAN prove me wrong

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
Hahah halafu jamaa alikuwa anapenda kuvaa KOFIA YA PAMA.

ila sidhani ubashiri wako unaweza kuwa sio sahihi
 
Kwamba huyu ndo Iryn? [emoji28]
Ep ya kumla lryn naisoma mara mbili mbili,,,,, daaa antena yng et inasoma 5g jmn,, kama nae au nilikuwa najoin,, hahahaha ndo uzur wa wanaume bana akiwa anasimuliwa kitu waga tunatengeneza something like nd ok upo kwene uharisia hahaha,, mwambaaaaaaa insider hatali sana mkuu...
 
Kikweli me naishi Dom kama sio serikali na hivi vyuo asee Dom hakunaga pisi kabisa
Hahaha Ila wagogo wana mit...ko flani hivi huwa inawabebe shida ni face. Inserderman umetisha Sana...,makulu, iyumbu, Morena , golden pork na bambalaga ni maeneo ambayo kila siku tunakatiza wenyeji wa dodoma.
 
Nasemaje iryn bado hajasema .......Hiii itaenda

Antonnia njoo Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…