Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Common sense zako ziko mbali sana
 
Baada jamaa kumshtukia kuwa story yake ni chai akaamua kutimiza matakwa ya wachambuzi, na hii ikasibitisha ni chai kweli, anchagua nin chakuwapa ili mmuamin lakn hii ni chai tuh. Sema tunaburudika tuh hapa mwamba kama shigongo vile
 
Lete ya kwako ambayo ni true story
 
Mkuu, embu kwanza tutake radhi...Kwamba Dodoma hamna warembo? Eeh!? Watoto wote hawa waliojaa!? Tengua kauli.
 
Baada jamaa kumshtukia kuwa story yake ni chai akaamua kutimiza matakwa ya wachambuzi, na hii ikasibitisha ni chai kweli, anchagua nin chakuwapa ili mmuamin lakn hii ni chai tuh. Sema tunaburudika tuh hapa mwamba kama shigongo vile
Kama chai basi unaifuatilia ya nini.. ? Si ujikatae..? Umeona kitu ni chai sasa wewe unaye ifuatilia tukuite zwazwa kwa maana umejua ni uongo na unaifuatilia wew ni mpumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…