Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


Daaaah, basi Iryn alikua tajiri sana kama ndo hivo, kwa hesabu ya haraka haraka tu tuseme Iryn ilimtoka zaidi ya 10.M kwaajiri ya matumizi huko Dodoma [emoji15][emoji15], watu wana pesa bhn.[emoji2297]
 
Sina wivu hata chembe lakini roho inauma sana.

Hongera sana kwa kupata
 

Mkuu itapendeza ukiwa unatuma na pesa ya heineken kwangu.
 
Man Insider from being Harry Maguire to being Kylian Mbappé [emoji91][emoji91]

Mkuu umetisha sana, Mungu akawabariki SANA wewe na Iryn Kwa kujitoa kusaidia watu wa Hali ya chini[emoji120][emoji120]
Sijaona u-Mbappe wowote hapo kwa Maguire wetu. Ni vile tu refa kaamua kutubeba. Bila hivyo tulikua hatutoboi hii mechi!

Sema Maguire bana, siku akitoa hata assist tu hapakaliki.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Maguire akiscore dunia nzima inafurahi.

Hujatuambia mkuu ulikuwa unamkula iryn wetu na zana au nyama kwa nyama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…