[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ukianza kumpanua mapaja nitag INSIDER MAN
Wewe nawe kama huyo unaempa sifa za kijinga,angalia hio ID mnayoihisi ni mtoa mada na mwenye uzi uone kama ID ni hiyo hiyo,muachage mawengehahahahaha we jamaa hufai kuangalia movie za kibongo,kikorea,kituruki,kifiripino na kihindi, coz utaishia kutukana tu na kuvunja rimoti,,UPO MAKINI MNO....
punguza sauti mkuu....Wewe nawe kama huyo unaempa sifa za kijinga,angalia hio ID mnayoihisi ni mtoa mada na mwenye uzi uone kama ID ni hiyo hiyo,muachage mawenge
nyie ndo wale watata kwenye vikao vya familia.Maisha ni vita kamili ndio maana kila siku watu wanasema wanapambana. Atumie njia yoyote asiache hata Tsh. 100. Hakuna tuzo yoyote atapata kwa kusamehe urithi. She must apply every kind of opportunity to exploit her father's wealthy.
Hapana. Kunapokuwa na upenyo wa kupata chochote kitu usimwachie Mungu wala kulegea. Unatakiwa upambane.nyie ndo wale watata kwenye vikao vya familia.
Huyo siyo baba yake bana, Baba yake angemtambua kama mwanaye.Hapana. Kunapokuwa na upenyo wa kupata chochote kitu usimwachie Mungu wala kulegea. Unatakiwa upambane.
Kwani yeye anatofauti gani ya Kibaiolojia na hao watoto wengine? Si wote wametoka kwenye kiwiliwili kimoja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayejua ni baba yake au sio baba yake ni mama yake aliyemzaa na ndiye aliyemuonesha. Nothing more.Huyo siyo baba yake bana, Baba yake angemtambua kama mwanaye.
mkuu kama bado unapiga mzigo basi leo kuna sehem nmekuona mbezi beach asubuh ya sa3 ,, TD_K 5_2 over ..
Itag hii story mkuu tia linkWew nae uendeleze stroy yako, yan tumechoka kuwa tunachungulia jamii forum kila mala , kule @mrthedragon tumempa vyake nadhan leo ataendelea na story yake ya uchawi uchawi [emoji23],
Binti hujitambuiLeta yako yenye kahawa kyuma wewe