Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Antonnia Kigi Makasi
Nmependa hapo mwisho daadeki
Noumaaa nanusuuuu cousin... Dyudyu hainaga ubosiii🤠🤠😂!
Bossi lady kauelewa mziki mnenee wa mwambaa hahahaaa... !
Sema wanaume hawaridhikagi uduguuu!
Pamoja na kuwa na Mtoto mkaree clasyy afu smart full mapenee unaeza shangaa akahangaika na kina sumaiya mcharuko!

Wanaume 🙌🙌🙌!
 
Boss lady anataka kumiliki jimbo mazima shubaamit
 
Thanksssssss mkuuu naona mamboo yanazidi kuwa mazuri kwa Insaida finally boss lady kaingia kwa himaya yakeee kasarenda na kusaluteeee ariririhhhh[emoji1732]!

I told you true love comes with jealous in it hahaha..chezea kukunwa vizuri weyeee lazima usaleeeeeee !
Iryn analeta pigo za sitaki nataka hatimae rasmi katamka kwa kinywa chake yeye ni mali ya insideer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mi nimependa Utu wa kusaidia na kujichanganyaa na kutojikweza I like that!
Sema alipotaka kumiliki mme wa mtu mazima mi Sijapentaaa!

Mume anauma nyieee!!
Kizuri kula na nduguyo cousin wacha apunguzwe stelesi kidogo..Grizzman yupo mbali
 
Iryn analeta pigo za sitaki nataka hatimae rasmi katamka kwa kinywa chake yeye ni mali ya insideer

Sent using Jamii Forums mobile app
Alitaka nature iplay part yake kwa zile pigo uvumilivu umemshinda kajiripua tu liwalo na liwe !

Sasa Insaida mazoea na wale vijakazi wa boss lady asitishe Asap haipendezi kiukweli na ndiomana Iryn anammind kidizain! Hakinaga mazoea ya kawaida ya simba na swala haoooo hio!
 
Mimi nimependa sehemu hii
"
Baada ya kufika kwake kweli alikuwa anaumwa sana hata kuongea alikuwa anashindwa na Iryn palepale akatoa odda apelekwe hospital, na mtendaji alisema apelekwe Kondoa mjini na Iryn alitoa pesa ya usafiri pale.

Tuliendelea Kutembelea watu wengine na Iryn hasa aliwatarget wamama wajane ambao wanahali ngumu za maisha na wazee. Tulitembelea watu wengi sana mpaka akasema bhasi inatosha maana pesa ilikata, ukweli kule vijijini kuna watu wanashida sana. Niseme vijijini kuna watu wanashida sana na wanakosa msaada jamani, tujenge mazoea ya kwenda huko vijijini kuna watu wana hali mbaya sana na wanaishi maisha magumu."
 
Mr. Insider man! Ebu ni pm! Ukiona una amani ebu ni pm! Kwasababu hauruhusu pm kwako! Hii story nimekuwa nauchukulia kuwa chai! Uenda ni chai lakini who cares? Whether ni chai au la! Cha muhimu ni message! Nimependa message (mahudhui) ya hii story
 
Moro mi mwenyejii tena sanaaa!! Mezaliwa huko mekulia hukooo mesomea hukoooo! Hadi mahenge mikumi ifakara kilombero ulanga kote hukoo hunipoteziiii,, kilosa kidete hukooo Dumila turianii dakawaa wami kilosa... matombo mgeta mvuhaa moro town ndio kabesaaaaaa!
Mmh sawa mama A .....kuna sehemu itabidi nikucheki unizururishe 🤩
 
Alitaka nature iplay part yake kwa zile pigo uvumilivu umemshinda kajiripua tu liwalo na liwe !

Sasa Insaida mazoea na wale vijakazi wa boss lady asitishe Asap haipendezi kiukweli na ndiomana Iryn anammind kidizain! Hakinaga mazoea ya kawaida ya simba na swala haoooo hio!
Nature ilisha play Iryn akavunga nakumuambia insideer ile ilitokea kama ajali asahau kumvua chupi tena boss lady akawa anampimia meneja kaona meneja hana papara isiwe tabu kaukubali mziki wa meneja acha ajisevie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom