Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Kizuri kula na nduguyo cousin wacha apunguzwe stelesi kidogo..Grizzman yupo mbaliHata mi nimependa Utu wa kusaidia na kujichanganyaa na kutojikweza I like that!
Sema alipotaka kumiliki mme wa mtu mazima mi Sijapentaaa!
Mume anauma nyieee!!