Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mh nakuambia tafadhali sana tena tafadhali mno, mambo ya umeme sisi hajatuhusu tunachotaka ni story, matatizo tunayopata ya kufungua huu uzi kila baada ya saa1 umeyasababisha wewe, naomba sana uzingatie makubaliano yetu, isingekuwa ulipost episode katikati ya week pangekuwa pamechimbika hapa maana jana hujapost. mkuu usitake kabisa kuleta mzaha kwenye hila jambo tutaonana wabaya, wengine tuna mkono mrefu ujue. NIMEMALIZA, KAZI KWAKO.

Sijataka kabisa kutumia maneno kwa upande mwingine maana kwa upande mwingine taarifa yako imenikera sana.
Hili biti lilitakiwa liendane na hela ya bundle 😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] ni kweli kabisa ingawa vista wishing ni vingi, pesa inabaki kuwa sabuni ya moyo. Kuna mama aliendaga ulaya kusoma akazama kwenye penzi na mzungu. Yaani alihamishia watoto wake wote ulaya na kumuacha mzee Baba kufa kwa kihoro kikubwa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]uzuri mzungu alikuwa na njuluku za kutosha hivyo watoto wakafaidika na pussy ya Mama yao
Kweli Pesa ni sabuni but isinunue utu wetu! Binafsi hata kama mwanaume ana pesa kiasi aloooo siweziiii kupangwa kirejareja!
 
Ale matunda ya kujirahisisha kwake na apambane na matatizo yake no way ndio ilipangwa hivoo!

It hurts more ameachwa kipindi cha matatizo mimba imetoka na katumikaaa weeeee dahh wanaume hawaa[emoji1783][emoji119][emoji119][emoji119]!
Hapa ndo wanawake wananiacha njia panda, kwani mwanamume anakuwa hajatumikaa? Ndo yale yale ya kutaka kulipwa wakati sterehe mliipata wote.

Wanamume tunakula kwa jasho jamani mweee
 
.
20231014_100637.jpg
 
Hapa ndo wanawake wananiacha njia panda, kwani mwanamume anakuwa hajatumikaa? Ndo yale yale ya kutaka kulipwa wakati sterehe mliipata wote.

Wanamume tunakula kwa jasho jamani mweee
ikumbukwe Jamaa alikua mume wa mtu lakini angejisimamia haya yote yasingetokea japo huyo dogo Priska nae ile siku alifanya maamuzi akiwa na stress za basha wake sijui ndio alikua na nyeg pro ndiomana alijikuta anajimanuamanua tu kwa uber na wanaume kichwa cha chini kikiamka venye hamjielewagi!
 
Kweli Pesa ni sabuni but isinunue utu wetu! Binafsi hata kama mwanaume ana pesa kiasi aloooo siweziiii kupangwa kirejareja!
Antonia unataka kupangwa JUMLA JUMLA? hayo huwa yanatokeaga kutokana na kila sheitani kuwa na mbuyu wake[emoji23][emoji1787][emoji23]stress za upweke na tamaa za mwili na mali. Mzee Baba ndo aliandaa mchongo wa kuinusuru kaya kwa mkewe kwenda ulaya kusoma na kufanya kazi temporary. Mama akasaliti maslahi ya kaya mazimaaaa
 
Eendiwooooo mkuu at least mtu akupange jumla jumla hujui kama hivo Iryn 😂!

Sipendagi sarau sa rejareja aseee!
 
Iryn huyu anayetajwa humu ndio alalie kitanda cha mafundi wa Keko...
Kwani Mkuu uliambiwa yeye ni Mungu au[emoji23][emoji23][emoji23] hata uwe na billions of money ukienda sehemu haina five star hotel utalala lodge na makande utakula......

Au hujui kama Tanzania ni jehanam ndogo....., tuko huku kutumikia dhambi zetu tulizotendaga miaka ya nyuma huku tukishapata adabu tunafariki na kurudi tulikotoka
 
Back
Top Bottom