Yeah Inanoga na kuhuzunisha kiukweli!Let's wait and see......ila inanoga ile mbaya uku mwishoni
Hili biti lilitakiwa liendane na hela ya bundle 😂Mh nakuambia tafadhali sana tena tafadhali mno, mambo ya umeme sisi hajatuhusu tunachotaka ni story, matatizo tunayopata ya kufungua huu uzi kila baada ya saa1 umeyasababisha wewe, naomba sana uzingatie makubaliano yetu, isingekuwa ulipost episode katikati ya week pangekuwa pamechimbika hapa maana jana hujapost. mkuu usitake kabisa kuleta mzaha kwenye hila jambo tutaonana wabaya, wengine tuna mkono mrefu ujue. NIMEMALIZA, KAZI KWAKO.
Sijataka kabisa kutumia maneno kwa upande mwingine maana kwa upande mwingine taarifa yako imenikera sana.
Kweli Pesa ni sabuni but isinunue utu wetu! Binafsi hata kama mwanaume ana pesa kiasi aloooo siweziiii kupangwa kirejareja![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] ni kweli kabisa ingawa vista wishing ni vingi, pesa inabaki kuwa sabuni ya moyo. Kuna mama aliendaga ulaya kusoma akazama kwenye penzi na mzungu. Yaani alihamishia watoto wake wote ulaya na kumuacha mzee Baba kufa kwa kihoro kikubwa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]uzuri mzungu alikuwa na njuluku za kutosha hivyo watoto wakafaidika na pussy ya Mama yao
Jf never boring kiukweli ! Mtu anapiga biti as if ana cha kumfanya mtoa mada haha!Hili biti lilitakiwa liendane na hela ya bundle 😂
Hapa ndo wanawake wananiacha njia panda, kwani mwanamume anakuwa hajatumikaa? Ndo yale yale ya kutaka kulipwa wakati sterehe mliipata wote.Ale matunda ya kujirahisisha kwake na apambane na matatizo yake no way ndio ilipangwa hivoo!
It hurts more ameachwa kipindi cha matatizo mimba imetoka na katumikaaa weeeee dahh wanaume hawaa[emoji1783][emoji119][emoji119][emoji119]!
Anajua kwamba umeleta picha yake humu????
ikumbukwe Jamaa alikua mume wa mtu lakini angejisimamia haya yote yasingetokea japo huyo dogo Priska nae ile siku alifanya maamuzi akiwa na stress za basha wake sijui ndio alikua na nyeg pro ndiomana alijikuta anajimanuamanua tu kwa uber na wanaume kichwa cha chini kikiamka venye hamjielewagi!Hapa ndo wanawake wananiacha njia panda, kwani mwanamume anakuwa hajatumikaa? Ndo yale yale ya kutaka kulipwa wakati sterehe mliipata wote.
Wanamume tunakula kwa jasho jamani mweee
Antonia unataka kupangwa JUMLA JUMLA? hayo huwa yanatokeaga kutokana na kila sheitani kuwa na mbuyu wake[emoji23][emoji1787][emoji23]stress za upweke na tamaa za mwili na mali. Mzee Baba ndo aliandaa mchongo wa kuinusuru kaya kwa mkewe kwenda ulaya kusoma na kufanya kazi temporary. Mama akasaliti maslahi ya kaya mazimaaaaKweli Pesa ni sabuni but isinunue utu wetu! Binafsi hata kama mwanaume ana pesa kiasi aloooo siweziiii kupangwa kirejareja!
Booobs kubwa namna hii, HAIWEZEKANI [emoji871]
Hapana Mkuu humjuiMbona kama huyu dada namjua hawa ni wale wauzaji wa hapa mjini, stop disrespecting my woman [emoji120]
We unamjuaAnajua kwamba umeleta picha yake humu????
Ni mzureeeeee mtrotro white!
vipi tenaRubbish
Hakuna wa kumfaaaaaaaaaa!Mama Wawili
Mage
Mary
Asmah
Sumaiya
Vicky
Nani unafikiri angeweza kumfaa INSIDER MAN kama asingekutana na bossylady IRENE?
Eendiwooooo mkuu at least mtu akupange jumla jumla hujui kama hivo Iryn 😂!Antonia unataka kupangwa JUMLA JUMLA? hayo huwa yanatokeaga kutokana na kila sheitani kuwa na mbuyu wake[emoji23][emoji1787][emoji23]stress za upweke na tamaa za mwili na mali. Mzee Baba ndo aliandaa mchongo wa kuinusuru kaya kwa mkewe kwenda ulaya kusoma na kufanya kazi temporary. Mama akasaliti maslahi ya kaya mazimaaaa
Kwani Mkuu uliambiwa yeye ni Mungu au[emoji23][emoji23][emoji23] hata uwe na billions of money ukienda sehemu haina five star hotel utalala lodge na makande utakula......Iryn huyu anayetajwa humu ndio alalie kitanda cha mafundi wa Keko...
Hahaha hakuna zana hapoMaguire akiscore dunia nzima inafurahi.
Hujatuambia mkuu ulikuwa unamkula iryn wetu na zana au nyama kwa nyama?