Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuna watu hata mkipangiwa mstari wa mademu wakali 20 na upande mwingine wa kawaida 20 utaishia kwenye wa kawaida. Yaani ktk picha zako zoooote hili tikit ndio mkali?. Umeambiwa Iryn sio machachari kama hili duara.
Tuliza MUNKARI Mr Afisa
 
Yaani wewe ulifeli pale kwa mchina ilibidi umtoe uncle mchezoni kimya kimya. Mchina alianza kukuamini dunia haina huruma.
 
Hivi inakuwaje jamani mnaanza kuandika Uzi mrefu ndani ya story ya mtu Kama ushauri andika kwa ufupi ustaarabu wa wapi huu
 
Una balaa kama mrembo wa ajabu ....hii kozi masters yake umechukua wapi
 
Ka yaani ukiangalia hao ni weng dadeq ....na wanajua jamaa yupo kwenye ndoa ule msemo hakunaga urafiki wa karibu baina ya jinsia mbili nauelewa hapa
Kuna yule Aggy rafikiake wa Dodoma na wameshibana hata Mama J anamfahamu nadhani anamchukulia kama dada yake ila Sumaiya na Asmah hawa ndio wanaweza kumpoteza kwa Iryn Marry na Vicky wapo njiani wanataka kumtunuku insideer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apa labdah Mary ndoo ananipa wasiwasi .....awa wengine wapo kwenye system Asmah anapenda kazi yake,,, Sumaiya yupo sehemu nyingine na Vicky sister wake Jane ana mlinda balaaaa
 
Mi nimeshaanza kumchukia Jane anavyomshawishi amkule Mary mtu keshamwambia ametembea na mdogo wake halafu bila aibu anamwambia we mkule tu, wanawake wengine sijui wakoje😏😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…