Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

INSIDER MAN dah huyu binti aliyepatwa na ajali ni nani hasa kati ya Iryn na Assmah, maana hawa wawili ndiyo waliokuwa barabarani kwa muda huu kwa maana Iryn ulimwambia atangulie kwenda kula utamkuta na Assamah ukamdrop njiani kwa maana bado alikuwa na safari ila pia wanaweza wasiwe ni hao, kuna Lucy, Prisca, Marry, mdogo wake jane so ngoja tuone insider atakuja na jibu gani?
 
Asmah au Iryn, roho inasema ni Iryn
 

[emoji24] [emoji22]
 
Congolese kk ni mwendo wa mbupu episode nzi ma[emoji122][emoji122][emoji119][emoji119]
 
Umetuacha na mashaka ya majeruhi tena kwa boda boda. Isije kuwa iryn wetu kabondwa na mbodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…