Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

LERNING IS EASIER THAN UNLEARNING ikiwa na maana Kujifunza jambo jipya ni rahisi kuliko kufuta jambo ambalo ulishajifunza.
Kibailogia binadamu yako kwenye kundi la primates. Na nature ya primates wote ni dume kuwa na jike zaidi ya moja. Hata hao wanaojifanya wabishi wakifuga primates majumbani mwao huwa wanafuga majike mengi kuliko madume.

Kama unadhani manabii walikuwa wanao wanawake wengi kwasababu wanawake walikuwa wengi kuliko wanaume basi umekosea sana.

Mwisho nakupa faida ya kijamii ya wanaume kuoa wake wengi. Mwanaume m1 kuoa/kuhodhi wanawake wengi inasababisha competition ya kugombea/kuoa inakuwa kubwa zaidi hii inapelekea thamani ya mwanamke kuwa juu na kupunguza wanawake wasioolewa.
Mwanaume m1 mke m1 inasabisha demand ya wanawake kuwa ndogo. Na kuhamisha competition badala wanaume wacompete kwa ajili ya wanaume sasa wanawake wanacompete kwa ajili ya wanaume. Zingatia law of demand and supply.

Mwisho kabisa mwanaume anapooa mwanamke zaidi ya m1 inasababisha wanaume wenye uwezo wa juu kuoa wanawake wenye mvuto na kusababisha idadi yao ipungue wakati demand bado iko juu hii inapelekea wanaume wenye uwezo wa chini kutokuwa na option bali kuoa wanawake wanaoonekana kama rejects kama walemavu ama waliozalia nyumbani.

Ndio maana zamani kila mwanamke hata awe na kasoro gani ya kimaumbile aliolewa ila siku hz hahahaha namba inasomwa vibaya mno mpaka kwa warembo. Nendeni makanisani hasa haya yanayojiita ya kiroho muone jinsi demand ikivyoshuka.

Ukisoma biblia hakuna sehemu ilikokataza wake wengi. Suala la mke m1 zilikuwa busara za paulo kupunguza baadhi ya migogoro ya kifamilia baadae kanisa la Rumi wakaiga na kuliingiza kwenye sera za kanisa na kwa kuwa kabisa la Rumi ndio baba wa makanisa yote ya kisasa basi tukatembea nayo mpaka leo
XX, XY. Logically a chance for male is 25% and females 75%. Equilibrium is not balanced.
 
BM wiki moja umempendelea sana.. jamaa alikua anapotea zaidi ya mwezi na akirudi anasema msinipangie nipo natafuta pesa [emoji1787] [emoji1787]
Ni sawa. Sasa kuna wapumbavu wachache wameuteka Uzi ni kutukana tu bila sababu,utafikiri wanamlipa?. Kana kwamba yeye Insider ndio kazi yake hii hii.
 
Nyie miles 45 na Kaghambe mbona hamuwatendei haki wanajamvi.... Maneno mnayotumia sidhani kama no ya mtu aliyestaarabika...inafikia muda Miles anaita "members wengi ni wendawazimu na watoto" Je, sababu ya watu kuhoji au umejiskia Kuwaita members jona hilo?

Na wewe Kaghambe unasema mijitu ina "roho mbaya" eti kisa haiulizi maendeleo ya mtoto, mbona unahukumu roho za watu kuwa mbaya mamlaka hayo unayapatia wapi?

Ningependa muelewe, JF inatumiwa na members WENYE AKILI TIMAMU NA WENGI NI ABOVE 18 YRS na NIMEGUNDUA PIA MEMBERS WENGI WANA ROHO NZURI . Ona nakumbuka Mwandishi aliposema anauguliwa na Junior alipokea pole na salamu za kumtakia heri mtoto na hata kabla hajasema Hali ya mtoto ipoje wapo walioulizia status ya Junior, For more reference mnaweza rudia threads za nyuma huko mtaona.

Ushauri :- Nadhani MUNGU alituumba na kutupatia vichwa vyetu kwa maana maalumu, tusipende kuvifanya viwe mzigo kwa shingo, kabla ya KUTUKANA, KUTUHUMU ni vyema tushirikishe BONGO ZETU, Haipendezi sababu ya Hadithi TU tena imeletwa na mtu ambaye HATUMFAHAMU na yy HAFAHAMU hadhira yake tunatumia maneno ya kukera kama MEMBERS WENDAWAZIMU & UTOTO MWINGI na ROHO MBAYA.

Tupendane na tubishane kwa hoja na sio matusi pale tunapopishana mawazo.
Hoja gani ulizonazo unaongea tu pumba?. Umeutaka uzi,kwa maneno mengi yasiyo hata na maana. Kwa nini usianzishe Uzi wako kwa ajili ya porojo zako?. Utapokelewa tu na wanaokuelewa. Lakini sio kama hivi unadandia tren kwa mbele kila kona sasa ni wewe tu.
 
Wew Ni mpumbavu Sana unatetea ujinga na utapeli kwa hoja zako dhaifu eti Hakuna hata mmoja anamjulia Hali insider wako pumbavu kbsa toka lini tumeanza kuamkia watot kisa vinaleta story hapa ,, nonsense kbsa

Shortly story hi ilipazwa kuhitimishwa August 31 sas Hadi leo ipo na haijulikani itaisha lini kwa kifupi amalize story target yakeimefeli Kam atalazimisha anaochotaka yeye

Mwambie amalize story hi haraka Sana
Wewe ndio upotee. Story haimaliziwi leo wala kesho. Jinyonge
 
Hoja gani ulizonazo unaongea tu pumba?. Umeutaka uzi,kwa maneno mengi yasiyo hata na maana. Kwa nini usianzishe Uzi wako kwa ajili ya porojo zako?. Utapokelewa tu na wanaokuelewa. Lakini sio kama hivi unadandia tren kwa mbele kila kona sasa ni wewe tu.
Sina muda wa kubishana nawe, nimewavuta wahusika imetosha, sasa sijui wewe unawashwa na nn?

Tena unasema eti ni NIANZISHE UZI WANGU, WHO ARE YOU BY THE WAY !?

Nimeamua KUKUPUUZA KAMA JINA LAKO LINAVYOSADIFU. Period.
 
Uzi umekosa mwelekeo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hapo ndio mwisho wa uzi mzee. Usitegemee maajabu mengine. Ndio maana wakina UMUGHAKA13 , Analyse wataendelea kupokea maua yao humu jf . Wakianzisha story zinaisha bila ubabaishaji. Jamaa alianza vizuri sana sema sifa zimemjaa. Naona hata machawa wake wamechoka kumtetea
 
Hapo ndio mwisho wa uzi mzee. Usitegemee maajabu mengine. Ndio maana wakina UMUGHAKA13 , Analyse wataendelea kupokea maua yao humu jf . Wakianzisha story zinaisha bila ubabaishaji. Jamaa alianza vizuri sana sema sifa zimemjaa. Naona hata machawa wake wamechoka kumtetea
Fact brother

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Story imeisha!
Jiongeze! Episode iliyoisha alisema mama Junior alienda uchagani kusalimia! Aliporudi INSIDER MAN alisema junior anaumwa na akaomba tumuombee! Kwahiyo story imefika mwisho. IRYN anasubiri kwenda kusoma Masters SA. Insiderman naye ataenda kusoma Masters ila ajatuambia. Bila shaka wataenda wote na Iryn SA na watasoma wakiwa married couple
 
Back
Top Bottom