Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hata mimi nawashangaa sana watu wa humu ndani kwakweli, kwanza ukiangali Episode zinazokuja kwasasa ni ndefu sana tofauti na nyuma. Nimesoma story nyingi tu lakini watu walikuwa wanapotea wanarudi hata mwezi kuendeleza, kuna story zingine watu waliachia njiani.

Watu wa JF ni Toxic, ningekuwa jamaa ningeacha kumalizia hizi Episodes, uzuri wanaoteseka ni wale wazee wa CHAI [emoji23]
Wamekazana chai afu hawa banduki. Sema inatufundisha namna binadamu walivyo wa aina mbali mbali
 
Nyie miles 45 na Kaghambe mbona hamuwatendei haki wanajamvi.... Maneno mnayotumia sidhani kama no ya mtu aliyestaarabika...inafikia muda Miles anaita "members wengi ni wendawazimu na watoto" Je, sababu ya watu kuhoji au umejiskia Kuwaita members jona hilo?

Na wewe Kaghambe unasema mijitu ina "roho mbaya" eti kisa haiulizi maendeleo ya mtoto, mbona unahukumu roho za watu kuwa mbaya mamlaka hayo unayapatia wapi?

Ningependa muelewe, JF inatumiwa na members WENYE AKILI TIMAMU NA WENGI NI ABOVE 18 YRS na NIMEGUNDUA PIA MEMBERS WENGI WANA ROHO NZURI . Ona nakumbuka Mwandishi aliposema anauguliwa na Junior alipokea pole na salamu za kumtakia heri mtoto na hata kabla hajasema Hali ya mtoto ipoje wapo walioulizia status ya Junior, For more reference mnaweza rudia threads za nyuma huko mtaona.

Ushauri :- Nadhani MUNGU alituumba na kutupatia vichwa vyetu kwa maana maalumu, tusipende kuvifanya viwe mzigo kwa shingo, kabla ya KUTUKANA, KUTUHUMU ni vyema tushirikishe BONGO ZETU, Haipendezi sababu ya Hadithi TU tena imeletwa na mtu ambaye HATUMFAHAMU na yy HAFAHAMU hadhira yake tunatumia maneno ya kukera kama MEMBERS WENDAWAZIMU & UTOTO MWINGI na ROHO MBAYA.

Tupendane na tubishane kwa hoja na sio matusi pale tunapopishana mawazo.
Rudia kusoma nilicho andika. Mkuu maana eeh
 
Irene!
F8IdGLxWIAA7o9e.jpeg
 
Unapenda sana kutumia maneno "kwa upande mwingine" 😁😁

Kwa upande mwingine nawaza kamanda ataweza kutulia na Iryn wakati ameshaambiwa Mary anampenda?

Huku naona Kuna chembechembe za mahaba zinataka kujitokeza kati yule Mdogo wake na Mjamzito wa Mbweni na INSIDER MAN

Kwa upande mwingine Mama J na Iryn mahusiano Yao yanachukua mwelekeo gani Kwa Sasa baada ya Mwamba kutuheshimisha Kwa Iryn?

Iryn anampenda Junior na kaondoka na picha yake, vipi kama ajenda yake ni kupata mtoto na Insider?
 
Lakini Chief tambua haya:-
1. Hulazimishwi kufuatilia huu uzi
-Hakuna aliyemwomba aanzishe uzi wake, maana kwamba alianzisha alitegemea kutakuwa na wafuatiliaji.

2. Hakuna anayemlipa muda wake,
-Ni kweli na hata yeye kama Fanani halipii muda wa Hadhira, hili suala la muda lina cut across.

3. Hakuna humu ndani aliyeombwa kuusoma.
-Tambua pia hakuna aliyemfuata mwandishi huko kwao BUNJU/MBEZI na akamuomba aanzishe uzi, alijiskia kushare na jamii hadithi/stori yake hivyo maamuzi pia ni yake kuendelea au kuachia hapo.

4. Suala la kuendelea au laah ni juu yake hata akiishia na ep66 hakuna atakayamfanya kitu. So tuwe na subira sisi sote ni free-Riders,
-Unaposema kuwa wote wanaosoma humu ni Free-riders sijui una maana gani!? kumbuka hata hao wasomaji wanatumia VOCHA/BUNDLE kuperuzi, ina maana hata huna huruma na bando la ndugu wengine hadi useme ni free -riders.

Hitimisho lako sasa:-
Bora ufadhili punda kuliko Binadamu, Episode zimebaki 4 haina haja ya kumalizia.

-Ni Hitimisho la Kikuda sana , elewa hapa Mwandishi Hamfadhili Binadamu yeyote, ila aliamua kushare story yake na kuonyesha aliyopitia ambapo alitarajia ndani yake WATU WANGEOKOTA MEMA/MADINI na KUYATUMIA KUJIINUA KIUCHUMI, sasa inapofikia anakaribu malizia then wanaibuka viherehere wanasema eti zimebaki ep. 04 aachie hapo kisa wanauliza ataendelea lini inakuwa sio fair.
Final word toka kwangu:- Mwandishi ana majukumu yake wote tunafahamu na atambue pia hata hadhira yake pia ina majukumu yake, hivyo atakapokuwa na muda ATAAMUA MWENYEWE aendelee au achieve hapo hapo alipokwisha mvua Iryn, TUTARIDHIKA WALA HATUTAKUFA.
Kiaz kibichi
 
Mary kwasasa ndo wakuhofiwa, jamaa hawezi chomoka hapa. Kwa juhudi zote alizoonesha msibani, Mary anapoint 10 tayari, Master plan ni Jane. Insider hachomoki hapa.

Vicky simwofii

Asmah- kidogo

Prisca ni kama kapotea tayari

Mary ndo anakuja kuwa starring sasa.
 
asante mkuu, alikuwa mtoto wa mwisho kwa mama yake, siku ya ile ajali mama yake alinipigia, akaniuliza umesikia ajali ya ndege, nikajbu ndio, akasema fulani alikuwa kwenye hyo ndege na hatumpati kwenye simu, nikamfariji tu pale, badaye ndo dada yake ananipigia ananiambia mdogo wake kafariki. niliumia sana aisee.
So sad
 
Lakini Chief tambua haya:-
1. Hulazimishwi kufuatilia huu uzi
-Hakuna aliyemwomba aanzishe uzi wake, maana kwamba alianzisha alitegemea kutakuwa na wafuatiliaji.

2. Hakuna anayemlipa muda wake,
-Ni kweli na hata yeye kama Fanani halipii muda wa Hadhira, hili suala la muda lina cut across.

3. Hakuna humu ndani aliyeombwa kuusoma.
-Tambua pia hakuna aliyemfuata mwandishi huko kwao BUNJU/MBEZI na akamuomba aanzishe uzi, alijiskia kushare na jamii hadithi/stori yake hivyo maamuzi pia ni yake kuendelea au kuachia hapo.

4. Suala la kuendelea au laah ni juu yake hata akiishia na ep66 hakuna atakayamfanya kitu. So tuwe na subira sisi sote ni free-Riders,
-Unaposema kuwa wote wanaosoma humu ni Free-riders sijui una maana gani!? kumbuka hata hao wasomaji wanatumia VOCHA/BUNDLE kuperuzi, ina maana hata huna huruma na bando la ndugu wengine hadi useme ni free -riders.

Hitimisho lako sasa:-
Bora ufadhili punda kuliko Binadamu, Episode zimebaki 4 haina haja ya kumalizia.

-Ni Hitimisho la Kikuda sana , elewa hapa Mwandishi Hamfadhili Binadamu yeyote, ila aliamua kushare story yake na kuonyesha aliyopitia ambapo alitarajia ndani yake WATU WANGEOKOTA MEMA/MADINI na KUYATUMIA KUJIINUA KIUCHUMI, sasa inapofikia anakaribu malizia then wanaibuka viherehere wanasema eti zimebaki ep. 04 aachie hapo kisa wanauliza ataendelea lini inakuwa sio fair.
Final word toka kwangu:- Mwandishi ana majukumu yake wote tunafahamu na atambue pia hata hadhira yake pia ina majukumu yake, hivyo atakapokuwa na muda ATAAMUA MWENYEWE aendelee au achieve hapo hapo alipokwisha mvua Iryn, TUTARIDHIKA WALA HATUTAKUFA.
Ukweli mchungu huu
 
Hapo mwishoni umemalizia vizuri. Point ni kwamba humu ndani watu wamejaa makasiriko hakuna hata mtu ambaye huwa anamjulia hali mwandishi zaidi ya kuomba mwendelezo.

Kama sisi ni hadhira yake kwanini tusithamini kwa kazi anayofanya ya kutupa burudani/kutuelimisha? Kwanini muda wote tumejaa makasiriko kana kwamba yeye hana majukumu ya kufanya?

Kama ni bando unatumia hata yeye anatumia bundle na anapoteza muda wake pia kwenye kuandika, so tuwe wastaarabu na sio kuwa na makasiriko yasiyo na faida.

Sijawahi kuona hata mtu humu ndani akimjulia hali Insider man zaidi ya kuulizia mwendelezo 🚮

Wew Ni mpumbavu Sana unatetea ujinga na utapeli kwa hoja zako dhaifu eti Hakuna hata mmoja anamjulia Hali insider wako pumbavu kbsa toka lini tumeanza kuamkia watot kisa vinaleta story hapa ,, nonsense kbsa

Shortly story hi ilipazwa kuhitimishwa August 31 sas Hadi leo ipo na haijulikani itaisha lini kwa kifupi amalize story target yakeimefeli Kam atalazimisha anaochotaka yeye

Mwambie amalize story hi haraka Sana
 
Pumbavu wewe ambaye unaleta ass yako hapa kulilia story, this time ulitakiwa uwe unapelekewa moto na boy wako unakuja kujitongozesha kwenye thread za watu.

Tafuta kitu cha kufanya sio kuja kushake ass yako kwenye thread za watu [emoji706][emoji706]
 
Lakini nadhani imefika time JF iwe ina walipa hawa storytellers coz wanasaidia kuwaingizia mapato makubwa sana. Hebu imagine story moja views 3mil hii ni pesa nyingi watu wameingiza through their bundles.

Hata youtube watu hupost videos kwa hiyari yao tu lakini u-tube kwa kudhamini wakaona waanze kuwalipa kila content creator ambaye atafikisha viewa 1m and above sasa JF nao waache ubahili kwasababu to be honest wao ndio wanaingiza fedha nyingi zaidi kwa views hizi

Watu wafaidike na content zao zinazovutia watu wengi zaidi tuache haya mambo ya kindugu sijui amepost kwa hiyari yake hajaitwa that's nonsense muhimu ni kwamba tayari amevutia watu wengi kwenye platform yako of which hawaji bure wana weka bundle. Hii socialism itaisha Lini???
Kama ningekuwa mimi ndio Melo basi nyuzi kama hizi ningeweka na matangazo humu humu ndani, halafu awalipe since viewers ni wengi.
 
"kwa upande mwingine nimeingia kila sekunde humu jukwaani kuangalia mwendelezo sijafanikiwa, ila nikisoma comments nakuta watu wanapopoana,kusema ukweli nilikasirika sana muda huu"
 
Wew Ni mpumbavu Sana unatetea ujinga na utapeli kwa hoja zako dhaifu eti Hakuna hata mmoja anamjulia Hali insider wako pumbavu kbsa toka lini tumeanza kuamkia watot kisa vinaleta story hapa ,, nonsense kbsa

Shortly story hi ilipazwa kuhitimishwa August 31 sas Hadi leo ipo na haijulikani itaisha lini kwa kifupi amalize story target yakeimefeli Kam atalazimisha anaochotaka yeye

Mwambie amalize story hi haraka Sana
Wivu tu....
 
Kuna namna Fulani Moderate wanaweza kuja na idea ya kupiga mpunga kwenye nyuzi km hizi, maana vya burebure vinakosa heshima kabisa, mtu kajitolea kuwatoa upweke afu mmnakuja kumzengua kwamba Ohoo INSIDERMAN analinga na Uzi wake.
Kwa ufupi mngejua gharama ya kuandika Uzi ni kiasi Gani mmngetulia tu.
Kungekuwa na katozo Fulani ndo usome huu Uzi basi kungekuwa na displine kiasi Fulani.
 
Kabisa aisee. Jamaa alisema mwanae anaumwa wachache wakampa pole afu majitu yamekaa na roho mbaya zao hata kuuliza kwa mhusika hata ndani ya uzi hapo hapo kuhusu maendeleo ya mwanae hawaulizi wao wanakuja na kejeli za kipuuz
Pia nilijifunza Humu jf ukiwa na ile roho laini ya upendo, care humu sio mahali pake

Pia watu wanapenda kusikia habari za kuachwa na mpenzi, kufukuzwa kazi ,unapitia maisha magumu , mademu hawakupendi hapo ndio utakua rafiki yao

Ila ukionesha wewe pisi hazikusumbui, ndoa umeiweza ni tamu, maisha yako matam aisee jiandae kusaikolojia kwa upinzani utakao kutana nao humu
 
Back
Top Bottom