Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Mkenya wa kova unaendeleaje?😆😆😆😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkenya wa kova unaendeleaje?😆😆😆😆😆
Upo sawa ila naweza kukupinga,Mi nilishalisema hilo, jamaa anachokifanya ni kuangalia trend ya story yake. Watu wanashoboka vip na stori yake.
Nadhani kuna target amiepanga. Either idadi ya views or any record aifikie katika thread yake. Mbali na hapo hakuna sababu za msingi za kuchelewesha story.
Ni ARROGANCE tu. Alafu kuna watu eti wanamtetea? For what? Yaani ukileta story humu jamii forum maana yake sisi ndio hadhira yako . Lazima utuheshim, bila wasomaji nani utamwandikia story yako?
Waandishi jifunzeni kuwaheshimu wasomaji wenu. Maana bila wao huwezi kuwa wewe maana hutakuwa na wa kumsimulia story yako.
Ndio tabia zao hizo. Wanavyoanzisha story, kila siku wanatupia episode lakini the way story inavyotrend wanaanza visingizio. Mbona mwanzoni mwa story hakuna siku ulitoa excuse? Why now? STOP ARROGANCE.
Lakini Chief tambua haya:-Upo sawa ila naweza kukupinga,
1. Hulazimishwi kufuatilia huu uzi
2. Hakuna anayemlipa muda wake,
3. Hakuna humu ndani aliyeombwa kuusoma.
4. Suala la kuendelea au laah ni juu yake hata akiishia na ep66 hakuna atakayamfanya kitu. So tuwe na subira sisi sote ni free-Riders, suala la kumaliza story mapema au laah ni juu yake.
INSIDER MAN usiendeleze hii story hakuna anayekulipa humu ndani, watu wa humu ndani hawana shukran. Hakuna hata mmoja ambaye huwa anakujulia hali, zaidi wameweka maslahi mbele.
Bora ufadhili punda kuliko Binadamu, Episode zimebaki 4 haina haja ya kumalizia, all the best kwenye masomo yako.
Hapo mwishoni umemalizia vizuri. Point ni kwamba humu ndani watu wamejaa makasiriko hakuna hata mtu ambaye huwa anamjulia hali mwandishi zaidi ya kuomba mwendelezo.Lakini Chief tambua haya:-
1. Hulazimishwi kufuatilia huu uzi
-Hakuna aliyemwomba aanzishe uzi wake, maana kwamba alianzisha alitegemea kutakuwa na wafuatiliaji.
2. Hakuna anayemlipa muda wake,
-Ni kweli na hata yeye kama Fanani halipii muda wa Hadhira, hili suala la muda lina cut across.
3. Hakuna humu ndani aliyeombwa kuusoma.
-Tambua pia hakuna aliyemfuata mwandishi huko kwao BUNJU/MBEZI na akamuomba aanzishe uzi, alijiskia kushare na jamii hadithi/stori yake hivyo maamuzi pia ni yake kuendelea au kuachia hapo.
4. Suala la kuendelea au laah ni juu yake hata akiishia na ep66 hakuna atakayamfanya kitu. So tuwe na subira sisi sote ni free-Riders,
-Unaposema kuwa wote wanaosoma humu ni Free-riders sijui una maana gani!? kumbuka hata hao wasomaji wanatumia VOCHA/BUNDLE kuperuzi, ina maana hata huna huruma na bando la ndugu wengine hadi useme ni free -riders.
Hitimisho lako sasa:-
Bora ufadhili punda kuliko Binadamu, Episode zimebaki 4 haina haja ya kumalizia.
-Ni Hitimisho la Kikuda sana , elewa hapa Mwandishi Hamfadhili Binadamu yeyote, ila aliamua kushare story yake na kuonyesha aliyopitia ambapo alitarajia ndani yake WATU WANGEOKOTA MEMA/MADINI na KUYATUMIA KUJIINUA KIUCHUMI, sasa inapofikia anakaribu malizia then wanaibuka viherehere wanasema eti zimebaki ep. 04 aachie hapo kisa wanauliza ataendelea lini inakuwa sio fair.
Final word toka kwangu:- Mwandishi ana majukumu yake wote tunafahamu na atambue pia hata hadhira yake pia ina majukumu yake, hivyo atakapokuwa na muda ATAAMUA MWENYEWE aendelee au achieve hapo hapo alipokwisha mvua Iryn, TUTARIDHIKA WALA HATUTAKUFA.
Hata ikiwa na sumu tunainywa, toka episode ya 1 tunakunywa chai pamoja but you’re still ridin his d**Story zenye chai lazima ziandaliwe, now hana muendelezo so anatafuta story za kutunga zaidi awashike maskio
Chai ☕️ anaweka chumvi sasa
Hawa watu wa JF ni d** head, hawana shukran kabisa na wanaolalamika ni wale wanaosema CHAI. Nashangaa kuwaona hapa wanalalamika wakitaka muendelezo,Kakojoe ukalale hujaitwa kwenye uzi wetu pendwa, kaliwa Iryn linakuja dume na mandevu yake linaona wivu ulitaka uliwe wewe?
Kama unaona huu uandishi ni kitu simple andika stori yako watu wengi waifutilie kama tunavyofuatilia hii .
💩🚮Hata ikiwa na sumu tunainywa, toka episode ya 1 tunakunywa chai pamoja but you’re still ridin his d**
You’re so jealous woman but you’re still here dancing on his diki
Ndugu, sidhani kama wanaJF wamejaa makasiriko wala nn ..!! and I can tell you KWA KUWA HUMU NDANI WENGI WANA-ID FAKE nadhani kama each and everyone angeweza kureveal his/her true self nadhani ungeshangaa hata hiyi kauli ya kuwa watu wana makasiriko ungeifuta.Hapo mwishoni umemalizia vizuri. Point ni kwamba humu ndani watu wamejaa makasiriko hakuna hata mtu ambaye huwa anamjulia hali mwandishi zaidi ya kuomba mwendelezo.
Kama sisi ni hadhira yake kwanini tusithamini kwa kazi anayofanya ya kutupa burudani/kutuelimisha? Kwanini muda wote tumejaa makasiriko kana kwamba yeye hana majukumu ya kufanya?
Kama ni bando unatumia hata yeye anatumia bundle na anapoteza muda wake pia kwenye kuandika, so tuwe wastaarabu na sio kuwa na makasiriko yasiyo na faida.
Sijawahi kuona hata mtu humu ndani akimjulia hali Insider man zaidi ya kuulizia mwendelezo 🚮
Point yako ni kwamba msomaji anahaki apate anachokitaka kwa muda wowote anaojiskia?Ndugu, sidhani kama wanaJF wamejaa makasiriko wala nn ..!! and I can tell you KWA KUWA HUMU NDANI WENGI WANA-ID FAKE nadhani kama each and everyone angeweza kureveal his/her true self nadhani ungeshangaa hata hiyi kauli ya kuwa watu wana makasiriko ungeifuta.
Lakini pia hizi amsha amsha za kuulizia muendelezo, ku-comment hiki na kile kina faida sana na kwa kiasi kikubwa kinaleta TRAFFICK katika uzi wa Jamaa.
Najua pia unaperuzi katika nyuzi nyingine za JF za watunzi wengine (kina Mshana, kina BMW sijui, kuna kina Umughaka n.k.nk), Je huko napo kuna hata siku mwanaJF alimjulia hali mwandishi, na hata kama itatokea mara nyingi inakuwa PM, So, salamu YES but sio lazima sana.
Hii ni sahihi, mlaji ana haki ya kupata hadithi kwa utaratibu na muda pangwa, nakumbuka ni mwandishi huyu huyu alijiwekea UTARATIBU WA KUPOST EPISODES WEEKEND akisema kuwa WEEKDAYS anakuwa BUSY na shughuli zake, and am pretty sure almost all walielewa kuwa jamaa ni mchakarikaji atakuwa anapost akiwa na muda means FRID, SAT & SAT... but ww mwenyewe unaweza kuwa shahidi hapo katikati mambo yakavurugika akawa anatupia TU-EPISODES hata katikati ya week.Point yako ni kwamba msomaji anahaki apate anachokitaka kwa muda wowote anaojiskia?
Mpaka sasa tuna miezi 3 na amepost episode 66, kwa wastani ni episode 22 kila mwezi je huu wastani unauonaje??.
BM wiki moja umempendelea sana.. jamaa alikua anapotea zaidi ya mwezi na akirudi anasema msinipangie nipo natafuta pesa 🤣 🤣You’re so jealous woman but you’re still here dancing on his diki
Ningekua mimi ndo jamaa ningepotea hata miezi afu narudi kumalizia,BM wiki moja umempendelea sana.. jamaa alikua anapotea zaidi ya mwezi na akirudi anasema msinipangie nipo natafuta pesa 🤣 🤣
JF wamlipe kwa sababu gani?? Kwani walimuomba ailete hii story?? Yeye alijisikia kushare ikapata response nzuri lakini haimaanishi alipwe while ilikuwa hiari yake.Nina maswali mawili.
1 JF wanamlipa inside man?.
2 Kwa STORY hii kuwa na ufuatiliwaji mkubwa kuna namna JF wameongeza kipato?
For sure nilitaman kutia neno ila maamuzi mazuri kuanzisha uzi i will be there tubak kuheshimu uzi wa mwamba isiwe bored kw members wengine.Good hakikisha umejipanga vizuri kwa hoja maana si wengine kubishana na kushusha magazeti ndio jadi yetu, waulize vizuri wanaotufahamu humu jf ila uzuri ni kuwa huwa tunabishana kwa hoja hatubishani ili mradi tu, so cut the crap and bring it on
Pole sana.Mm pia ilishanitokea tena mara mbili, wa kwanza wakat nipo na dada yake alikuwa mdogo bado, aise watoto wa kike wanakua haraka sana, kuja kukutana naye dar sikuamini macho yangu, tukabadilishana namba, baada ya muda akaanza kunitumia pic za mitego, nikasema huyu hanijui, nikapita naye jumla jumla, ni marehemu sasa alikufa kwenye ile ajali ya precision bukoba, rip shem darling.