Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuna watu mna discussion ambayo inaharibu uzi wetu pendwa.
Mnaweza mkafungua uzi wenu ili mtupunguzie jam ya notifications ambazo hazina faida?
Pole Muuza ubuyu, yote hayo kayataka fanani ambaye ameacha hadhira ikiwa katika mshawasha wa kupata muendelezo wa mtu kuliwa tena...

Anyways, ikiwa ni mmoja wapo wa tu wenye discussions tunaomba radhi....
 
Asante sana kwa uungwana mkuu, ngoja tumsubiri INSIDER MAN tuendelee na simulizi yetu [emoji120]
 
So?
255673420401_status_fe60122a14ac4689892f7048a498f87d.jpg
 
Ndugu INSIDER MAN ulituambia kuwa episodes zote ziko tayari unamalizia kuhariri tu halafu unatupia na kufikia mwisho wa wiki iliyoisha jana ungekuwa umeimaliza yote.
Tafadhali zingatia mkataba tunaoingia kila mara.
Asante.
Wamekula ya mbuzi wameota mapembe
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]
Pole sana mkuu hope anaendelea poa now
 
Hizi ni propaganda kama propaganda nyingine tu yani umerudia kile kile ambacho nimetoka kukikosoa awali, binadamu tuko kwenye kundi la wanyama lakini bado kuna tofauti kubwa sana kati yao na yetu na mambo tunayotofautiana nao ni mengi zaidi kuliko tunayofanana nao, mwisho nakukumbusha kwamba world population statistics zinaonesha wanaume ni wengi kuliko wanawake sababu inayofanya hizo propaganda zenu zionekane illogical and inapplicable
Acha kudanganya watu
 
Acha kupotosha Umma kwa ufinyu wako wa Maarifa.

Mungu mwenyewe muumba wa mbingu na vyote vilivyomo ameamuru kwenye Vitabu vyake vitukufu Juu ya Waume kuoa zaidi ya mke Mmoja isipokuwa tu kwa kuzingatia taratibu za kiuadilifu.

Halafu hizo takwimu zako unazotoa hazina uhalisia ni Unataka kufurahisha Genge tu hapa!

Biologically females ratio to male Huwa ni wake wengi wame wachache.
Na wewe hata kama ndio hujawahi kufuga basi tuseme kuku .....Jogoo huwa ni wachache na mikoo/kuku jike huwa ni wengi interms of ratio ndani ya banda ulishawahi kujiuliza kwanini?

Other point ni Kwamba Kati ya Male na Female nani anakwenda Period Kila Mwezi ?
Hii inamaa kuwa zidi siku zinaenda na umri humfanya Female kupoteza thamani yake kutokana na Kuikaribia Menopause/Ukomo wa uchavushaji mayai ya uzazi.
Ambapo kwa Mwanaume ni tofauti kabisa yeye zidi umri unakwenda ndio ankomaa zaidi maungo yake ya uzalishaji mbegu za uzazi na anaweza kuzalisha zaidi na zaidi hata awe kikongwe.

Sasa Mungu ametuumba kwa Lengo kuja tuzaane na tuijaze Dunia huku tukimwabudu.

Tutaijazaje Dunia kwa Menopause za mke Mmoja ? Kumbuka wazaaji ni wanawake !

Na Ushawahi kujiuliza Dume ambalo liko active Wakati jike Yuko kwenye Gestation period/Kipindi cha Ujauzito miezi Tisa yote ni Kwamba unakuwa umekaa tu mnaangaliana na mkeo ?

Ndio maana ikawekwa unaweza ukawa na wake zaidi ya Mmoja Ili kupunguza chance ya mwanaume kuzini nje ya Ndoa.

Na suala la kusema eti wanawake wawe na mwanaume zaidi ya Mmoja kimaumbile Mwanamke hata akiwa na wanaume 10 kwa mpigo ...mimba atayoshika Moja tu!

Ila mwanaume anaweza akawangilia wanawake 10 na akawapa Ujauzito wote kwa mpigo !

That's nature.... you guys females msipingane na mifumo ya Mungu !
 
Nimetangulia kusema learning is easierthan unlearning.
Sasa kama mtu unashindwa kukubali kuwa kibailogia binadamu ni primates si unataka kubishana tu. Kwanini nimegusia primates na sio kundi jingine, ni kwasababu makundi mengine ya wanyama yanajamiiana kwa ajili ya uzao lakini primates wanajimiiana sababu ya uzao na starehe pia.

Hakuna sehemu nilipolinganisha male vs female population.

Kwa kawaida nashusha points, chaguo linabaki kwako kama zinaeleweka ama ni ujinga. Kubishana ni kupoteza muda
 
Ndugu Mwandishi,

Mosi, naona umeanza kumuweka Mwanadamu kwenye kundi la Primates yaani viumbe jamii ya manyani na masokwe n.k n.k, ni kweli tupo humo lakini kuna kitu kimoja ambacho kinatutofautisha licha ya ufanano wetu kwa asilimia 99, nacho ni UTASHI WA KUAMUA JEMA NA BAYA, Je huoni kuwa kwa kuwa amekosa utashi ndio anaamua kuoa majike mengi.

Pili, naona umesema kuna manabii waliona faida ya kuwa na wake wengi, na declare interest mie ni Mkristu na naomba unisaidie kunitajia hao manabii, just curious... Nimeshuhudia ndoa nyingi za mitala hasa za waislamu asilimia kubwa wanazidiss, wanasema uke wenza ni kazi.

Tatu, umesema tuzingatie law of demand and supply lakini umesahau kuwa hii law inatumika under certain conditions either being "ceterius paribus" ama ile ya "mutatis mutandis", Je unadhani ni sahihii kutumia hii law na ikawa effective katika hoja tajwa.

Mwisho, umeongelea kitu MVUTO au UZURI, nadhani hapa pia inabidi uwe specific unapoongelea uzuri una maanisha nn, mm ninachoelewa inawekana ukamuona mwanamke X mzuri kwako lakini mtu mwingine akamuona huyo mwanamke X si chochote, kwa muktadha huo am sure wanawake wote wanaweza kupata wenza regardless of mvuto unaoongelea ww.

Hitimisho, KAMA IMANI YAKO, UTASHI WAKO NA UWEZO WAKO UNAKUAMBIA MUME MMOJA KWA WAKE WENGI NI SAWA THEN GO FOR IT, MASUALA YA KUCOMPARE NA PRIMATES, MANABII SIJUI LAW OF DEMAND AND SUPPLY SIDHANI KAMA NI SAWA.
Mosi kibailogia binadamu ni primate. Kama hautaki kukubali basi hapo haubishani na mimi bali bailogia. Nakuongezea tu sifa ya kipekee ya primates ni kujamiiana kwa madhumuni mawili (uzao na starehe). Tofauti ya binadamu na nyani ni utashi sio bailogia.

Pili nakutajia manabii wa 5 waliokuwa na mke zaidi ya mmoja kama ulivyoomba.
1. Ibrahimu alio wake 3 (Sara, hajiri na ketura )
2.Daudi. (soma 1nyakati sura ya 3 uone wake 7 wa daudi, kila mmoja na watoto aliozaa na daudi),
3.Lameki (mwanzo 4:19),
4. Yakobo alioa binti za mjomba wake Labani (Raheli na Lea),
5. Suleiman (1walfme 11:3)

Kama manabii waliokuwa wanaongea na Mungu moja kwa moja hawakuona ubaya wa kuoa mke zaidi ya mmoja na wala Mungu hakuwakataza wasioe mke zaidi ya mmoja. Je, wewe uliyepata mapokeo ya kiimani baada ya miaka 2000 unajua zaidi kuliko wao? Si kichekesho hicho

Tatu, kama haukubaliani na law of demand and supply miongoni mwa wanawake na wanaume basi utakuwa umeamua kutokuelewa

Nne, kama biblia inazungumzia suala la mvuto, mitaa inazungumzia mvuto wewe ni nani. Mfano tu hata kama uwoya siyo type zako unaweza kusema ni mbaya ama hana mvuto?

N.B sipendi kubishana. Naelezea tu kuelewa ama kutokuelewa unabaki kuwa uamuzi wako binafsi
 
Acha kupotosha Umma kwa ufinyu wako wa Maarifa.

Mungu mwenyewe muumba wa mbingu na vyote vilivyomo ameamuru kwenye Vitabu vyake vitukufu Juu ya Waume kuoa zaidi ya mke Mmoja isipokuwa tu kwa kuzingatia taratibu za kiuadilifu.

Halafu hizo takwimu zako unazotoa hazina uhalisia ni Unataka kufurahisha Genge tu hapa!

Biologically females ratio to male Huwa ni wake wengi wame wachache.
Na wewe hata kama ndio hujawahi kufuga basi tuseme kuku .....Jogoo huwa ni wachache na mikoo/kuku jike huwa ni wengi interms of ratio ndani ya banda ulishawahi kujiuliza kwanini?

Other point ni Kwamba Kati ya Male na Female nani anakwenda Period Kila Mwezi ?
Hii inamaa kuwa zidi siku zinaenda na umri humfanya Female kupoteza thamani yake kutokana na Kuikaribia Menopause/Ukomo wa uchavushaji mayai ya uzazi.
Ambapo kwa Mwanaume ni tofauti kabisa yeye zidi umri unakwenda ndio ankomaa zaidi maungo yake ya uzalishaji mbegu za uzazi na anaweza kuzalisha zaidi na zaidi hata awe kikongwe.

Sasa Mungu ametuumba kwa Lengo kuja tuzaane na tuijaze Dunia huku tukimwabudu.

Tutaijazaje Dunia kwa Menopause za mke Mmoja ? Kumbuka wazaaji ni wanawake !

Na Ushawahi kujiuliza Dume ambalo liko active Wakati jike Yuko kwenye Gestation period/Kipindi cha Ujauzito miezi Tisa yote ni Kwamba unakuwa umekaa tu mnaangaliana na mkeo ?

Ndio maana ikawekwa unaweza ukawa na wake zaidi ya Mmoja Ili kupunguza chance ya mwanaume kuzini nje ya Ndoa.

Na suala la kusema eti wanawake wawe na mwanaume zaidi ya Mmoja kimaumbile Mwanamke hata akiwa na wanaume 10 kwa mpigo ...mimba atayoshika Moja tu!

Ila mwanaume anaweza akawangilia wanawake 10 na akawapa Ujauzito wote kwa mpigo !

That's nature.... you guys females msipingane na mifumo ya Mungu !
Hapa tunabishana kwa facts mkuu siyo mihemko, acha porojo lete takwimu za mlinganyo wa idadi kati ya wanaume na wanawake, na ungekuwa unaijua saikolojia ya binadamu usingeandika hizi pumba eti mwanamke akiwa periods au gestation mwanaume ataangaliana naye tu

Ndio kwani mwanaume akikaa hicho kipindi chote bila kusex na mwanamke anapata madhara gani, anaumwa au anakufa au anapatwa na nini hasa cha ajabu msifikiri hivi vitu tunaongea kwa mihemko tu kama ninyi, HAKUNA binadamu asiyeweza kuzuia tamaa ya ngono narudia HAYUPO hayo yote ni kujiendekeza tu

Kisaikolojia vitu pekee ambavyo binadamu hawezi kujizuia ni njaa, usingizi, kiu ya maji, pumzi, kufanya zile involuntary actions na kutoa taka mwili maana ni dhahiri baada ya muda fulani atakufa, ila hayo mengine yote ni kujiendekeza tu maana kuna wanaume marijali wanaishi vizuri tu bila kuwa na mwanamke kabisa sembuse kuwa na mwanamke mmoja, na sijawahi kuona wala kusikia takwimu zinazoonesha wanaokufa kwa kukosa sex hakuna
 
Nimetangulia kusema learning is easierthan unlearning.
Sasa kama mtu unashindwa kukubali kuwa kibailogia binadamu ni primates si unataka kubishana tu. Kwanini nimegusia primates na sio kundi jingine, ni kwasababu makundi mengine ya wanyama yanajamiiana kwa ajili ya uzao lakini primates wanajimiiana sababu ya uzao na starehe pia.

Hakuna sehemu nilipolinganisha male vs female population.

Kwa kawaida nashusha points, chaguo linabaki kwako kama zinaeleweka ama ni ujinga. Kubishana ni kupoteza muda
Huwa nashindwa kuelewa huo usawa mnaolazimisha kati ya binadamu na wanyama wakati nimetoka kusema hapo kwamba mambo tunayotofautiana nao ni mengi zaidi kuliko tunayofanana nao, binadamu kufanana na wanyama biologically haina maana kwamba tunafanana nao mpaka psychologically, yani saikolojia ya binadamu na wanyama ni tofauti kabisa mkuu kaa ukijua hilo

Binadamu tumepewa utashi na uwezo wa kuchambua mema na mabaya na kuishi kwa kufuata ustaarabu maalum kitu ambacho wanyama hawajapewa, na ndio maana wao hata baba kufanya na mwanaye jike au mama kufanya na mwanaye dume au kaka kufanya na dadaye siyo kitu cha ajabu ila kwa binadamu ni ajabu tena sana, kitu kingine wanyama hata wakizaliana wengi wao hawana majukumu yale ya kibinadamu

Hawana majukumu ya kutafuta pesa, kulipa bili, kujenga makazi, kusomesha watoto, na kubwa zaidi kulea watoto katika misingi na maadili, watoto wa wanyama hawahitaji hayo yote huhitaji kukuwa kimwili tu basi jukumu ambalo majike huweza kuyafanya peke yao, na ndio maana kwa wanyama wengi majike ndio hulea na kuwinda chakula kwa ajili ya mume na watoto tofauti na kwa binadamu ambapo mwanaume ndio mtafutaji mkuu

Watoto wa binadamu huhitaji malezi na uwepo wa wazazi wote wawili kulingana na kwamba binadamu tuna majukumu hayo niliyotaja hapo juu, ambayo ni ngumu kutekelezeka kwenye familia zenye mume mmoja na wake wengi huku kila watoto na mama zao, na bila shaka familia nyingi za aina hii ndio chanzo cha kuwepo kwa vizazi vya hovyo vilivyokosa maadili kwa kukosa malezi ya pande zote mbili kikamilifu

Na ninaposema kukosa maadili kumbuka huu mmomonyoko wa maadili haujaanza dunia ya leo ulianza tangu enzi za hao manabii na mitume, kipindi ambacho wanaume walikuwa wakioa wake wengi bila makatazo refer ukahaba na ushoga et al vyote hivyo havijaanza leo, kwahiyo binadamu mwenye akili timamu na anayeielewa vizuri saikolojia ya binadamu hatakiwi kujifananisha na mnyama hata mara moja narudia vinavyotutofautisha ni vingi zaidi kuliko vinavyotufananisha
 
Humu kushaanza kuboa…tulianza vizuri sana… Mwisho umekua wa Arosto balaaa.. Mwamba alituahidi story yote iko tayari ni kuhariri na kutupia mzigo tumalize epsode ila sasa tumeishia kucomment tu kila siku. Last weekend tumekula 1 episode. Anyway hatukulipi so tusikupangie[emoji3166]

Pole kwa kuuguza
 
Hapa tunabishana kwa facts mkuu siyo mihemko, acha porojo lete takwimu za mlinganyo wa idadi kati ya wanaume na wanawake, na ungekuwa unaijua saikolojia ya binadamu usingeandika hizi pumba eti mwanamke akiwa periods au gestation mwanaume ataangaliana naye tu

Ndio kwani mwanaume akikaa hicho kipindi chote bila kusex na mwanamke anapata madhara gani, anaumwa au anakufa au anapatwa na nini hasa cha ajabu msifikiri hivi vitu tunaongea kwa mihemko tu kama ninyi, HAKUNA binadamu asiyeweza kuzuia tamaa ya ngono narudia HAYUPO hayo yote ni kujiendekeza tu

Kisaikolojia vitu pekee ambavyo binadamu hawezi kujizuia ni njaa, usingizi, kiu ya maji, pumzi, kufanya zile involuntary actions na kutoa taka mwili maana ni dhahiri baada ya muda fulani atakufa, ila hayo mengine yote ni kujiendekeza tu maana kuna wanaume marijali wanaishi vizuri tu bila kuwa na mwanamke kabisa sembuse kuwa na mwanamke mmoja, na sijawahi kuona wala kusikia takwimu zinazoonesha wanaokufa kwa kukosa sex hakuna
Ndio hivyo tu naheshimu Uzi wa Insider nisije nikamharibia kwa Maongezi tofauti.

Sijui nikuanzishie Uzi nikuvutie pembeni huku nikushughulikie vizuri[emoji848]
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]
Duuh...! Pole sana mkuu. Kila la kheri MUNGU awalinde
 
Back
Top Bottom