Mm pia ilishanitokea tena mara mbili, wa kwanza wakat nipo na dada yake alikuwa mdogo bado, aise watoto wa kike wanakua haraka sana, kuja kukutana naye dar sikuamini macho yangu, tukabadilishana namba, baada ya muda akaanza kunitumia pic za mitego, nikasema huyu hanijui, nikapita naye jumla jumla, ni marehemu sasa alikufa kwenye ile ajali ya precision bukoba, rip shem darling.Hata mm mkuu nina historia hyo kutembea na mdogo mtu ilihali dada yke nlishakuwa nae na tukaachana though ilikuwa kama mzaha na mdogo nilidumu nae kwa miaka 11
sasa kama jamaa hawek episod sis tufanyeje, acha tusongeshe genge.Uzi ushatekwa na WAKUDA
Hii hoja ya mtu kujajiwa uelewa wake au ufaham wake humu kwa kuangalia muda alojiunga naonaga ni ukilaza wa hali ya juu sijui humu mtu anakuwa certified akiwa mda mrefu kwmb ndy smart sana, jamaa hapa kafeli watu wapo smart na hawana muda na social media.Kama basi kigezo cha mtu kutokukosea ni muda wa kujiunga jf basi ndio ile theory ya mkubwa hakosei.
Sawa amejiunga 2022 so what?
Asikurekebishe hata kama umekosea au namna gani?
Acha hizo mkuu umepuyanga hapa mtu ameleta tu story ya maisha yake tujifunze hata unakosemea ni kuruka ruka ujue wazi pia ni somo kwetu.
dogo analeta ujuaji kwanin asiambiwe ukweli ,Sasa Hana sababu yoyote ya kuchelewesha story hi Basi tu anatafuta umaarufu Hapa jfUzi ushatekwa na WAKUDA
Unamlipa?? INSIDER MAN hata usipoleta mwendelezo fresh tu, asitokee kenge wa kukupangia hakuna anayekulipa humu ndani. Na hakuna aliye ombwa kusoma huu uzi kila mtu Arosto zake zimemleta hapa, all the best classmate.dogo analeta ujuaji kwanin asiambiwe ukweli ,Sasa Hana sababu yoyote ya kuchelewesha story hi Basi tu anatafuta umaarufu Hapa jf
Aache ujinga amalize story Ana vizingizio vingi Mara junior anaumwa Mara nimesafiri Mara najiandaa kusoma masters Mara Alisha andika Hana Muda wa kureview Ni kwamba jamaa Ni Totally Ni muongo muonho
Imefikia pahala, kubemb eleza sana sio sawa. Nakumbuka insider alisema mtoto anaumwa, Kwa asiyena familia ya watoto,hataelewa. Inakunyima Raha mtoto akiwa hoi. Sisi wanywa chang'aa tunakaa tunatepeta, tunamwagika, tunanyoooka, tunayoyomea, tunawangika,tunambumbuika, tunanyongoroka, tunapoa, chang'aa haipandi ng'o ng'o seuze simulizi ya ilyin, masuala ya kutombeka, alyin ametombeka hakuna jipyaUnamlipa?? INSIDER MAN hata usipoleta mwendelezo fresh tu, asitokee kenge wa kukupangia hakuna anayekulipa humu ndani. Na hakuna aliye ombwa kusoma huu uzi kila mtu Arosto zake zimemleta hapa, all the best classmate.
Mi nilishalisema hilo, jamaa anachokifanya ni kuangalia trend ya story yake. Watu wanashoboka vip na stori yake.dogo analeta ujuaji kwanin asiambiwe ukweli ,Sasa Hana sababu yoyote ya kuchelewesha story hi Basi tu anatafuta umaarufu Hapa jf
Aache ujinga amalize story Ana vizingizio vingi Mara junior anaumwa Mara nimesafiri Mara najiandaa kusoma masters Mara Alisha andika Hana Muda wa kureview Ni kwamba jamaa Ni Totally Ni muongo muonho
Kipato wanaongeza maana mtu akisearch biashara ya Uber lazima uzi wa Insider auone hivyo wanajoin kuufuatilia, nafikiri JF iandae mpango mzuri kwa watu kama hawa akina BM, UMUGHAKA nkNina maswali mawili.
1 JF wanamlipa inside man?.
2 Kwa STORY hii kuwa na ufuatiliwaji mkubwa kuna namna JF wameongeza kipato?
Mkenya wa kova unaendeleaje?😆😆😆😆😆
Upo sawa ila naweza kukupinga,Mi nilishalisema hilo, jamaa anachokifanya ni kuangalia trend ya story yake. Watu wanashoboka vip na stori yake.
Nadhani kuna target amiepanga. Either idadi ya views or any record aifikie katika thread yake. Mbali na hapo hakuna sababu za msingi za kuchelewesha story.
Ni ARROGANCE tu. Alafu kuna watu eti wanamtetea? For what? Yaani ukileta story humu jamii forum maana yake sisi ndio hadhira yako . Lazima utuheshim, bila wasomaji nani utamwandikia story yako?
Waandishi jifunzeni kuwaheshimu wasomaji wenu. Maana bila wao huwezi kuwa wewe maana hutakuwa na wa kumsimulia story yako.
Ndio tabia zao hizo. Wanavyoanzisha story, kila siku wanatupia episode lakini the way story inavyotrend wanaanza visingizio. Mbona mwanzoni mwa story hakuna siku ulitoa excuse? Why now? STOP ARROGANCE.
Lakini Chief tambua haya:-Upo sawa ila naweza kukupinga,
1. Hulazimishwi kufuatilia huu uzi
2. Hakuna anayemlipa muda wake,
3. Hakuna humu ndani aliyeombwa kuusoma.
4. Suala la kuendelea au laah ni juu yake hata akiishia na ep66 hakuna atakayamfanya kitu. So tuwe na subira sisi sote ni free-Riders, suala la kumaliza story mapema au laah ni juu yake.
INSIDER MAN usiendeleze hii story hakuna anayekulipa humu ndani, watu wa humu ndani hawana shukran. Hakuna hata mmoja ambaye huwa anakujulia hali, zaidi wameweka maslahi mbele.
Bora ufadhili punda kuliko Binadamu, Episode zimebaki 4 haina haja ya kumalizia, all the best kwenye masomo yako.
Hapo mwishoni umemalizia vizuri. Point ni kwamba humu ndani watu wamejaa makasiriko hakuna hata mtu ambaye huwa anamjulia hali mwandishi zaidi ya kuomba mwendelezo.Lakini Chief tambua haya:-
1. Hulazimishwi kufuatilia huu uzi
-Hakuna aliyemwomba aanzishe uzi wake, maana kwamba alianzisha alitegemea kutakuwa na wafuatiliaji.
2. Hakuna anayemlipa muda wake,
-Ni kweli na hata yeye kama Fanani halipii muda wa Hadhira, hili suala la muda lina cut across.
3. Hakuna humu ndani aliyeombwa kuusoma.
-Tambua pia hakuna aliyemfuata mwandishi huko kwao BUNJU/MBEZI na akamuomba aanzishe uzi, alijiskia kushare na jamii hadithi/stori yake hivyo maamuzi pia ni yake kuendelea au kuachia hapo.
4. Suala la kuendelea au laah ni juu yake hata akiishia na ep66 hakuna atakayamfanya kitu. So tuwe na subira sisi sote ni free-Riders,
-Unaposema kuwa wote wanaosoma humu ni Free-riders sijui una maana gani!? kumbuka hata hao wasomaji wanatumia VOCHA/BUNDLE kuperuzi, ina maana hata huna huruma na bando la ndugu wengine hadi useme ni free -riders.
Hitimisho lako sasa:-
Bora ufadhili punda kuliko Binadamu, Episode zimebaki 4 haina haja ya kumalizia.
-Ni Hitimisho la Kikuda sana , elewa hapa Mwandishi Hamfadhili Binadamu yeyote, ila aliamua kushare story yake na kuonyesha aliyopitia ambapo alitarajia ndani yake WATU WANGEOKOTA MEMA/MADINI na KUYATUMIA KUJIINUA KIUCHUMI, sasa inapofikia anakaribu malizia then wanaibuka viherehere wanasema eti zimebaki ep. 04 aachie hapo kisa wanauliza ataendelea lini inakuwa sio fair.
Final word toka kwangu:- Mwandishi ana majukumu yake wote tunafahamu na atambue pia hata hadhira yake pia ina majukumu yake, hivyo atakapokuwa na muda ATAAMUA MWENYEWE aendelee au achieve hapo hapo alipokwisha mvua Iryn, TUTARIDHIKA WALA HATUTAKUFA.
Hata ikiwa na sumu tunainywa, toka episode ya 1 tunakunywa chai pamoja but you’re still ridin his d**Story zenye chai lazima ziandaliwe, now hana muendelezo so anatafuta story za kutunga zaidi awashike maskio
Chai ☕️ anaweka chumvi sasa