Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 1,773
- 3,201
Mungu amsaidie apone harakaNdugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu [emoji120]