Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
UtumboKatika hii Hadithi ni simple sana LU-DECODE, Baadhi ya taarifa :-
1.Jina la Saloon ndio ilikuwa ni code kubwa ya kwanza
2.Mwandishi mwenyewe
3.Mzee Pama
4.Ugonjwa na Hospital aliyolazwa Pama
5.Kama Saloon ipo maana code ya Iryn simple kuifungua
6.N.k n.k n.k
Otherwise, tuendelee kusoma utunzi wa Kijana mwenzetu.