nziriye
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 1,050
- 363
Katika hii Hadithi ni simple sana LU-DECODE, Baadhi ya taarifa :-✅ hii code imefunguka!...
Ni mwenye kuwaza kwa jicho la tatu ATAJUA!....Huyu ni Irene!
Nilishawahi ku-connect dots kwenye story ya jamaa mmoja alikuwa akiitwa The bold humu...
Nikamtajia mpaka majina yake matatu, shule aliyosoma, anapoishi... na anapofanya kazi....
Jamaa alinifuata inbox tukaonana ana kwa ana
.. hakuamini!...
Alinibana sana nimwambie nimewezawezaje!?... Hadi leo Huwa nikimkumbusha Huwa tunacheka saana...
Alisema ...."nilidhani mimi ni perfect kwa vitu vingi sana, nasoma vitu vingi mno...na niko deep kuliko wengine... ila nimekuvulia kofia chief"
1.Jina la Saloon ndio ilikuwa ni code kubwa ya kwanza
2.Mwandishi mwenyewe
3.Mzee Pama
4.Ugonjwa na Hospital aliyolazwa Pama
5.Kama Saloon ipo maana code ya Iryn simple kuifungua
6.N.k n.k n.k
Otherwise, tuendelee kusoma utunzi wa Kijana mwenzetu.