Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Antonnia ona walimwengu wanachosema huku
Ila we jamaa....sema mi nimependa vile unavyojua kuiona ilipo fursa na we unakazia humohumo. kale ka msemo kama sijakosea.... ' the higher the demand ....the lower the supply' .... ko umeona uchezee palepale maana Ni ukweli usiopingika dada zetu Wana uhaba wa wakojozaji.
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]

Poleni sana Kwa kuuguliwa, Kuna Hali ya upepo sio nzuri watoto Wana patwa sana na viral. Maendeleo yake vipi? Naamini atapona upesi.
 
Ila we jamaa....sema mi nimependa vile unavyojua kuiona ilipo fursa na we unakazia humohumo. kale ka msemo kama sijakosea.... ' the higher the demand ....the lower the supply' .... ko umeona uchezee palepale maana Ni ukweli usiopingika dada zetu Wana uhaba wa wakojozaji.
duuu sijawai kujua kuna uhaba wa wakojozaji huko mtaani, hii tukiiweka kibiashara inaweza lipa eh, yan natangaza huko insta/fb kuwa natoa huduma ya kukojoza, nitawapata wengi eh?
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]
Damu ya Yesu imponye kabisaa Junior wetu. Ni hali ya hewa so dont worry he gonna be fine. Amen
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]
Mungu awabarikini apone haraka kwa jina la Yesu
 
Mkuu mnaposema nature ya mwanaume ni kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja mkae mkijua, ni sawa na kusema na mwanamke naye awe na mwanaume zaidi ya mmoja maana wanaume wanafanya ngono na hao hao wanawake hawafanyi na viumbe vingine, kwa sababu ratio ya population duniani kwa jinsia zote ni almost iko sawa ila wanaume wamezidi kidogo

So mnapotunga hivyo vitheory vyenu kuwa mwanaume ana tamaa hatosheki na mwanamke mmoja na kusingizia nature, mkumbuke kwamba hiyo hiyo nature imewasaliti kwenye upande wa population maana kama nature ingekuwa upande wenu, population ya wanawake ingetakiwa kuiacha mbali sana ya wanaume ili hiyo theory yenu iwe logical and applicable

Yani kama kila mwanaume atataka kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja basi automatically mnakuwa mnalazimisha na mwanamke naye awe na mwanaume zaidi ya mmoja, kitu ambacho huwa hamtaki kusikia wala kukubaliana nacho ilihali ndio uhalisia wenyewe huo yani kwa kifupi idadi ya watu wote duniani na hata nchi moja moja inawakataa na inapingana na hiyo theory yenu, hiyo asili inaweza kuwa imempatia mwanaume tamaa kubwa ila imesahau kumpatia na idadi kubwa ya wanawake wa kumtosha so jitafakarini

Wewe ni mwanamke au Mwanaume?
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]
Tuko pamoj kwenye maombi bro Mungu atamponya dogo.
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]
Mungu amsaidie apone haraka
 
Ndugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.

Maombi yenu [emoji120]
Tunamuombea apone haraka
 
Back
Top Bottom