Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ndizo hoja mnazokujaga nazo, hayo yote hayapo kwa wanaume tu hata wanawake wapo wanaoyapitia tena wengi sana, na ukumbuke idadi ya wanaume ndio imezidi tofauti na tunavyoaminishwaLakini katika takwimu hizo kumbuka kuna hanithi, mashoga, waseja (mapadre), na pia kuna wasiokuwa na nguvu za kutosha, walioamua kutojihusisha na maswala ya mapenzi, wafungwa ...
Hizi ni propaganda kama propaganda nyingine tu yani umerudia kile kile ambacho nimetoka kukikosoa awali, binadamu tuko kwenye kundi la wanyama lakini bado kuna tofauti kubwa sana kati yao na yetu na mambo tunayotofautiana nao ni mengi zaidi kuliko tunayofanana nao, mwisho nakukumbusha kwamba world population statistics zinaonesha wanaume ni wengi kuliko wanawake sababu inayofanya hizo propaganda zenu zionekane illogical and inapplicableLERNING IS EASIER THAN UNLEARNING ikiwa na maana Kujifunza jambo jipya ni rahisi kuliko kufuta jambo ambalo ulishajifunza.
Kibailogia binadamu yako kwenye kundi la primates. Na nature ya primates wote ni dume kuwa na jike zaidi ya moja. Hata hao wanaojifanya wabishi wakifuga primates majumbani mwao huwa wanafuga majike mengi kuliko madume.
Kama unadhani manabii walikuwa wanao wanawake wengi kwasababu wanawake walikuwa wengi kuliko wanaume basi umekosea sana.
Mwisho nakupa faida ya kijamii ya wanaume kuoa wake wengi. Mwanaume m1 kuoa/kuhodhi wanawake wengi inasababisha competition ya kugombea/kuoa inakuwa kubwa zaidi hii inapelekea thamani ya mwanamke kuwa juu na kupunguza wanawake wasioolewa.
Mwanaume m1 mke m1 inasabisha demand ya wanawake kuwa ndogo. Na kuhamisha competition badala wanaume wacompete kwa ajili ya wanaume sasa wanawake wanacompete kwa ajili ya wanaume. Zingatia law of demand and supply.
Mwisho kabisa mwanaume anapooa mwanamke zaidi ya m1 inasababisha wanaume wenye uwezo wa juu kuoa wanawake wenye mvuto na kusababisha idadi yao ipungue wakati demand bado iko juu hii inapelekea wanaume wenye uwezo wa chini kutokuwa na option bali kuoa wanawake wanaoonekana kama rejects kama walemavu ama waliozalia nyumbani.
Ndio maana zamani kila mwanamke hata awe na kasoro gani ya kimaumbile aliolewa ila siku hz hahahaha namba inasomwa vibaya mno mpaka kwa warembo. Nendeni makanisani hasa haya yanayojiita ya kiroho muone jinsi demand ikivyoshuka.
Ukisoma biblia hakuna sehemu ilikokataza wake wengi. Suala la mke m1 zilikuwa busara za paulo kupunguza baadhi ya migogoro ya kifamilia baadae kanisa la Rumi wakaiga na kuliingiza kwenye sera za kanisa na kwa kuwa kabisa la Rumi ndio baba wa makanisa yote ya kisasa basi tukatembea nayo mpaka leo
Ndugu Mwandishi,LERNING IS EASIER THAN UNLEARNING ikiwa na maana Kujifunza jambo jipya ni rahisi kuliko kufuta jambo ambalo ulishajifunza.

Rekebisha neno muda wote......ni story bora muda huu(Trending) hutakuwepo muda woteI hope hii itakuwa ni story bora ya muda wote... kwenye jukwaa la mahusiano..... hakuna wa kubisha
Wewe ni me au keMkuu mnaposema nature ya mwanaume ni kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja mkae mkijua, ni sawa na kusema na mwanamke naye awe na mwanaume zaidi ya mmoja maana wanaume wanafanya ngono na hao hao wanawake hawafanyi na viumbe vingine, kwa sababu ratio ya population duniani kwa jinsia zote ni almost iko sawa ila wanaume wamezidi kidogo
So mnapotunga hivyo vitheory vyenu kuwa mwanaume ana tamaa hatosheki na mwanamke mmoja na kusingizia nature, mkumbuke kwamba hiyo hiyo nature imewasaliti kwenye upande wa population maana kama nature ingekuwa upande wenu, population ya wanawake ingetakiwa kuiacha mbali sana ya wanaume ili hiyo theory yenu iwe logical and applicable
Yani kama kila mwanaume atataka kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja basi automatically mnakuwa mnalazimisha na mwanamke naye awe na mwanaume zaidi ya mmoja, kitu ambacho huwa hamtaki kusikia wala kukubaliana nacho ilihali ndio uhalisia wenyewe huo yani kwa kifupi idadi ya watu wote duniani na hata nchi moja moja inawakataa na inapingana na hiyo theory yenu, hiyo asili inaweza kuwa imempatia mwanaume tamaa kubwa ila imesahau kumpatia na idadi kubwa ya wanawake wa kumtosha so jitafakarini
Hii naiona Kama hutaki kukubaliana ukweli. Iko ivi Kuna wanawake ambao commonly wanavutiwa na wanaume wengi kuliko wengine. Kuna mwanamke anapita vichwa vinageuka karibia kijiwe kizima Ila Kuna mwingine akipita hata Hakuna kujitingisha na stori hazikatiki Ila yupo akipita anakata maongezi watu wote wanaduwaa mkuu.Mwisho, umeongelea kitu MVUTO au UZURI, nadhani hapa pia inabidi uwe specific unapoongelea uzuri una maanisha nn, mm ninachoelewa inawekana ukamuona mwanamke X mzuri kwako lakini mtu mwingine akamuona huyo mwanamke X si chochote, kwa muktadha huo am sure wanawake wote wanaweza kupata wenza regardless of mvuto unaoongelea w
Pole sana,mungu amfanyie uponyaji mwanetuNdugu wana JF saa 1 usiku nilipokea taarifa za kuumwa kwa Junior wakati wanampeleka hospitaal akazidiwa so amelazwa hapa. Nimeambiwa ni homa maana juzi tu hapa ametoka uchagani na mama yake, kama mambo yatakuwa mazuri tunaweza ruhusiwa.
Maombi yenu [emoji120]
Huyo ATAKUA wale chomeka, chomoa!.... Ama kama ni KE......ni dizaini wale...."Maliza niwahi kupanga chakula"Wewe ni me au ke
Kama ni Me na unaitambua vizuri saikolojia ya wanawake basi itakuwa umeandika kwa mihemuko tu kwa lengo la kubalance, kitu ambacho hakitakiwi mana mwanaume sikuzote ni kiongoz mbele ya mwanamke
Na ujiulize kwann Uzoefu wa mapenzi kwa mwanamke ni kushuka thamani ila kwa wanaume ni kitu Bora sana na wanawake hawataki mwanaume ambae hajui kitu kwenye mapenzi
Hakuna hoja hapo ya kijiwe kizima kimemuelewa,, wewe sema kwa muda huo hiko kijiwe mlikaa wanaume mnaomtamani huyo mwanamke. Huyo huyo mwanamke aliyefanya stori zikatike, akipita sehemu nyingine wanamuona takataka.Hii naiona Kama hutaki kukubaliana ukweli. Iko ivi Kuna wanawake ambao commonly wanavutiwa na wanaume wengi kuliko wengine. Kuna mwanamke anapita vichwa vinageuka karibia kijiwe kizima Ila Kuna mwingine akipita hata Hakuna kujitingisha na stori hazikatiki Ila yupo akipita anakata maongezi watu wote wanaduwaa mkuu.
Wanabakia kujiumauma yaani hili naweza nikabeti milele.
Hebu cheki hii hapa video cheki huyo jamaa ambavyo anatolewa macho na mademu karibia mtaa mzima njiani mpaka washkaji wanamkubali kwa body yake na wanavutiwa naye kiasi kwamba jamaa akimshika demu akamle anakuwa Hana Ile resistance hata sie tuko kwa demu ambaye Ni mkali. Yaani Ile ukimuona upo na demu mwingine anakuteka hisia zote zinavutwa na yeye.
Ila kama unabishia msuli bisha
View attachment 2783964
Could Irene be as cute as this chic
Umenena vyema,wahenga wanasema UKIONA CHA NINI WENGINE WANAULIZA NITAKIPATA LINI.Hakuna hoja hapo ya kijiwe kizima kimemuelewa,, wewe sema kwa muda huo hiko kijiwe mlikaa wanaume mnaomtamani huyo mwanamke. Huyo huyo mwanamke aliyefanya stori zikatike, akipita sehemu nyingine wanamuona takataka.
Huyo mwanamke unayesema hana mvuto, kuna mwanaume sehemu atamfukuzia kishenzi. Sasa aijui kijiwe chako kisiposhtuka ndo unajua watu wote hawashtuki au vipi.
Macho yako, moyo wako, fikra zako na hisia yako visifanye hitimisho kwa wote.
Huyu sio mzuri anakuchanganya kwa sababu yuko uchiView attachment 2783964
Could Irene be as cute as this chic
Yooooh hold on,mbona sikusomi ?but sy lazm nikuelew,so kichwa cha chini kikiamka ni kwamba hatujielewi ety?ikumbukwe Jamaa alikua mume wa mtu lakini angejisimamia haya yote yasingetokea japo huyo dogo Priska nae ile siku alifanya maamuzi akiwa na stress za basha wake sijui ndio alikua na nyeg pro ndiomana alijikuta anajimanuamanua tu kwa uber na wanaume kichwa cha chini kikiamka venye hamjielewagi!
hamna kitu hapo hata paula wa kajala anamzidi mbali tuView attachment 2783964
Could Irene be as cute as this chic