Ningekua ndio mm hapa ningepunguza kwa mchepuko wa mzee pama maana irene kashatoa ahadi ya kusaidia ujenzi
Changamoto labda itakua ni story ipi itapata attention kubwa ili iwekewe ads lakini hata bila ya hivo tayari kuna ads zipo humu naziona za CRDB bank na mitandao baadhi ya simu so labda kama ni kuongezea tu wengine zaidi ila sasa zisiwe too much tutaukimbia mtandaoKama ningekuwa mimi ndio Melo basi nyuzi kama hizi ningeweka na matangazo humu humu ndani, halafu awalipe since viewers ni wengi.
Kumbe huwa una chat huku My cocochanelSema umeanza wewe..
Wivu kitu kibaya sanaaaaaa....
Mkuu hiyo no.2 sijakuelewa , sasa utajuaje kama ana roho ya mafanikio au mikosi?Maoni yangu...
1.Kimaadili ni tabia isiyokubalika kabisa, sidhani kama Mtu ukiwa na akili timamu unaweza kula au kukubali kuliwa mtu aliyekula Dada na Mdogo mtu.
2.Kiimani - viungo vya uzazi vinapokutana maana roho za wawili zinaungana, sasa jiulize unayezini naye ana roho ya aina gani, kama ana roho ya mafanikio fresh jichanganye ubebe roho ya mikosi ndio shida itakapoanzia.
3.Kiafya - kitendo cha kukutanisha via vya uzazi inaweza pelekea kupata magonjwa ya kuambukiza, mbaya zaidi jamaa anaonekana ni Mzee wa kavukavu, sasa wewe mfuate jamaa uyavae magonjwa yasiyotibika.
4.Kikawaida - imeonyesha jinsi akili za baadhi ya kina dada zilivyo finyu, tizama Iryn kajua jamaa ana mke, kajua jamaa anatoka na Sumaiya, kajua jamaa alimtia mtu mimba still na yy anaingia humohumo, huu ni ukichaa narudia kusema hata kama moyo unapenda narudia kusema ni ukichaa.
Hii inaweza ikawa kweliJane lazima anatoboka sana tu ukicheki Insider ndo kila kitu kule Mbweni, msimuliaji hawezi andika kila kitu.
Mambo tunayoambiwa hapa ni machache sana, kuna wale ambao hakutaka kuwaandika, alisema anadeal na watu waliokuwa na impact kwake.
Vitabu vitakatifu vipi hivyo vitaje mkuuAcha kupotosha Umma kwa ufinyu wako wa Maarifa.
Mungu mwenyewe muumba wa mbingu na vyote vilivyomo ameamuru kwenye Vitabu vyake vitukufu Juu ya Waume kuoa zaidi ya mke Mmoja isipokuwa tu kwa kuzingatia taratibu za kiuadilifu.
Halafu hizo takwimu zako unazotoa hazina uhalisia ni Unataka kufurahisha Genge tu hapa!
Biologically females ratio to male Huwa ni wake wengi wame wachache.
Na wewe hata kama ndio hujawahi kufuga basi tuseme kuku .....Jogoo huwa ni wachache na mikoo/kuku jike huwa ni wengi interms of ratio ndani ya banda ulishawahi kujiuliza kwanini?
Other point ni Kwamba Kati ya Male na Female nani anakwenda Period Kila Mwezi ?
Hii inamaa kuwa zidi siku zinaenda na umri humfanya Female kupoteza thamani yake kutokana na Kuikaribia Menopause/Ukomo wa uchavushaji mayai ya uzazi.
Ambapo kwa Mwanaume ni tofauti kabisa yeye zidi umri unakwenda ndio ankomaa zaidi maungo yake ya uzalishaji mbegu za uzazi na anaweza kuzalisha zaidi na zaidi hata awe kikongwe.
Sasa Mungu ametuumba kwa Lengo kuja tuzaane na tuijaze Dunia huku tukimwabudu.
Tutaijazaje Dunia kwa Menopause za mke Mmoja ? Kumbuka wazaaji ni wanawake !
Na Ushawahi kujiuliza Dume ambalo liko active Wakati jike Yuko kwenye Gestation period/Kipindi cha Ujauzito miezi Tisa yote ni Kwamba unakuwa umekaa tu mnaangaliana na mkeo ?
Ndio maana ikawekwa unaweza ukawa na wake zaidi ya Mmoja Ili kupunguza chance ya mwanaume kuzini nje ya Ndoa.
Na suala la kusema eti wanawake wawe na mwanaume zaidi ya Mmoja kimaumbile Mwanamke hata akiwa na wanaume 10 kwa mpigo ...mimba atayoshika Moja tu!
Ila mwanaume anaweza akawangilia wanawake 10 na akawapa Ujauzito wote kwa mpigo !
That's nature.... you guys females msipingane na mifumo ya Mungu !
We broiler mtamu kinomaa..... Km sis viaz[emoji1787][emoji1787]Kudadekii zenu wotee humu,,,,hatimae nimemaliza sasa...!!!
Viazii mbatata nyiee[emoji124][emoji124]
Kwani wewe unaishi nae?. Unajua changamoto zake?. Hata kazini tu kwenye mshahara watu wanashinda ksbb ya changamoto za kimaisha. Yeye anawaletea free bado kichwani hamnazo. Huwazi?. Kwani hamna kazi zingine za kufanya kutwa mnashinda humu?dogo analeta ujuaji kwanin asiambiwe ukweli ,Sasa Hana sababu yoyote ya kuchelewesha story hi Basi tu anatafuta umaarufu Hapa jf
Aache ujinga amalize story Ana vizingizio vingi Mara junior anaumwa Mara nimesafiri Mara najiandaa kusoma masters Mara Alisha andika Hana Muda wa kureview Ni kwamba jamaa Ni Totally Ni muongo muonho
XX, XY. Logically a chance for male is 25% and females 75%. Equilibrium is not balanced.LERNING IS EASIER THAN UNLEARNING ikiwa na maana Kujifunza jambo jipya ni rahisi kuliko kufuta jambo ambalo ulishajifunza.
Kibailogia binadamu yako kwenye kundi la primates. Na nature ya primates wote ni dume kuwa na jike zaidi ya moja. Hata hao wanaojifanya wabishi wakifuga primates majumbani mwao huwa wanafuga majike mengi kuliko madume.
Kama unadhani manabii walikuwa wanao wanawake wengi kwasababu wanawake walikuwa wengi kuliko wanaume basi umekosea sana.
Mwisho nakupa faida ya kijamii ya wanaume kuoa wake wengi. Mwanaume m1 kuoa/kuhodhi wanawake wengi inasababisha competition ya kugombea/kuoa inakuwa kubwa zaidi hii inapelekea thamani ya mwanamke kuwa juu na kupunguza wanawake wasioolewa.
Mwanaume m1 mke m1 inasabisha demand ya wanawake kuwa ndogo. Na kuhamisha competition badala wanaume wacompete kwa ajili ya wanaume sasa wanawake wanacompete kwa ajili ya wanaume. Zingatia law of demand and supply.
Mwisho kabisa mwanaume anapooa mwanamke zaidi ya m1 inasababisha wanaume wenye uwezo wa juu kuoa wanawake wenye mvuto na kusababisha idadi yao ipungue wakati demand bado iko juu hii inapelekea wanaume wenye uwezo wa chini kutokuwa na option bali kuoa wanawake wanaoonekana kama rejects kama walemavu ama waliozalia nyumbani.
Ndio maana zamani kila mwanamke hata awe na kasoro gani ya kimaumbile aliolewa ila siku hz hahahaha namba inasomwa vibaya mno mpaka kwa warembo. Nendeni makanisani hasa haya yanayojiita ya kiroho muone jinsi demand ikivyoshuka.
Ukisoma biblia hakuna sehemu ilikokataza wake wengi. Suala la mke m1 zilikuwa busara za paulo kupunguza baadhi ya migogoro ya kifamilia baadae kanisa la Rumi wakaiga na kuliingiza kwenye sera za kanisa na kwa kuwa kabisa la Rumi ndio baba wa makanisa yote ya kisasa basi tukatembea nayo mpaka leo
Ni sawa. Sasa kuna wapumbavu wachache wameuteka Uzi ni kutukana tu bila sababu,utafikiri wanamlipa?. Kana kwamba yeye Insider ndio kazi yake hii hii.BM wiki moja umempendelea sana.. jamaa alikua anapotea zaidi ya mwezi na akirudi anasema msinipangie nipo natafuta pesa [emoji1787] [emoji1787]
Hoja gani ulizonazo unaongea tu pumba?. Umeutaka uzi,kwa maneno mengi yasiyo hata na maana. Kwa nini usianzishe Uzi wako kwa ajili ya porojo zako?. Utapokelewa tu na wanaokuelewa. Lakini sio kama hivi unadandia tren kwa mbele kila kona sasa ni wewe tu.Nyie miles 45 na Kaghambe mbona hamuwatendei haki wanajamvi.... Maneno mnayotumia sidhani kama no ya mtu aliyestaarabika...inafikia muda Miles anaita "members wengi ni wendawazimu na watoto" Je, sababu ya watu kuhoji au umejiskia Kuwaita members jona hilo?
Na wewe Kaghambe unasema mijitu ina "roho mbaya" eti kisa haiulizi maendeleo ya mtoto, mbona unahukumu roho za watu kuwa mbaya mamlaka hayo unayapatia wapi?
Ningependa muelewe, JF inatumiwa na members WENYE AKILI TIMAMU NA WENGI NI ABOVE 18 YRS na NIMEGUNDUA PIA MEMBERS WENGI WANA ROHO NZURI . Ona nakumbuka Mwandishi aliposema anauguliwa na Junior alipokea pole na salamu za kumtakia heri mtoto na hata kabla hajasema Hali ya mtoto ipoje wapo walioulizia status ya Junior, For more reference mnaweza rudia threads za nyuma huko mtaona.
Ushauri :- Nadhani MUNGU alituumba na kutupatia vichwa vyetu kwa maana maalumu, tusipende kuvifanya viwe mzigo kwa shingo, kabla ya KUTUKANA, KUTUHUMU ni vyema tushirikishe BONGO ZETU, Haipendezi sababu ya Hadithi TU tena imeletwa na mtu ambaye HATUMFAHAMU na yy HAFAHAMU hadhira yake tunatumia maneno ya kukera kama MEMBERS WENDAWAZIMU & UTOTO MWINGI na ROHO MBAYA.
Tupendane na tubishane kwa hoja na sio matusi pale tunapopishana mawazo.
Wewe ndio upotee. Story haimaliziwi leo wala kesho. JinyongeWew Ni mpumbavu Sana unatetea ujinga na utapeli kwa hoja zako dhaifu eti Hakuna hata mmoja anamjulia Hali insider wako pumbavu kbsa toka lini tumeanza kuamkia watot kisa vinaleta story hapa ,, nonsense kbsa
Shortly story hi ilipazwa kuhitimishwa August 31 sas Hadi leo ipo na haijulikani itaisha lini kwa kifupi amalize story target yakeimefeli Kam atalazimisha anaochotaka yeye
Mwambie amalize story hi haraka Sana
Sina muda wa kubishana nawe, nimewavuta wahusika imetosha, sasa sijui wewe unawashwa na nn?Hoja gani ulizonazo unaongea tu pumba?. Umeutaka uzi,kwa maneno mengi yasiyo hata na maana. Kwa nini usianzishe Uzi wako kwa ajili ya porojo zako?. Utapokelewa tu na wanaokuelewa. Lakini sio kama hivi unadandia tren kwa mbele kila kona sasa ni wewe tu.