Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kauli ya mume wangu hio utasikia siwezi kuwa na mke nikatumia ndom namwambia basi sitaki mimba sitaki uzazi wa mpango Wala p2 😂pambana na hali yako
Atumie withdraw method ,mbona nipo ndoani muda njia yangu nawahi kutoa nikisikia utamu ukikaribia Kuja. Uko sahihi sio dunia ya kuzaa mno Mana mashamba hayapo siku hizi hata Kama yapo inabidi utumie mbolea na pembejeo ziko juu
 
Ajaribu aone hio njia kitamkuta kitu atakuja kusimulia
 
Usijali ila nashangaa kwanini wengi waniona kama Me sio Ke 😊jina la kiarabu la kike la my daughter.
Mashallah, avatar yenyewe hapo juu tells it all , mrembo rangi ya mtume ,shavu shavu ,dodo hadi unapoteza network za watu😇. Niombe radhi kwa wote waliowahi kukuita me badala ya ke mwaya Nourhan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…