Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ulikua unamwagia ndani?
 
Ulikuwa unakula mbichi.

Najua silaha yako kwa ilyin ni kumtishia kuacha kazi.

Hiyo ndiyo kete yako. Wamaume bana wanaweza kusex na watoto wa rafik zao
 

Correction, Iryn ndo alikuwa ananitambulisha mimi kama mpenzi wake kwa Mzee wake na Claire.

Mimi nimemtambulisha kwa Sele tu muuza chips [emoji41]
 
Correction, Iryn ndo alikuwa ananitambulisha mimi kama mpenzi wake kwa Mzee wake na Claire.

Mimi nimemtambulisha kwa Sele tu muuza chips [emoji41]

Nakuelewa sana kamanda, kwangu ilimradi nna familia inayoeleweka, siruhusu kabisa hata kama ni yeye kujitambulisha hivyo.

Sema likija suala la mapenzi, hua tunafanya mambo ya ajabu sana.

Imagine Iryn hali akijua kabisa wewe una familia na anawafaham anadiriki kukutambulisha Kwa Mzee wake na mbaya zaidi yanafanyika maamuzi ya kulala hotelini ili kuweka mazingira sawa ya urafiki wenu.

Hii kitu ilinigharim ndio maana nikasema sitasahau kamwe.

Umeenda ibadani lakini Mkuu?
 
Aende shule na ujauzito? [emoji848][emoji2371]

Shule za utu uzima wwatu wanasoma na ujauzito sio kikwazo Mkuu. Vinginevyo itakua mgogoro wa watu wa mambo jinsia na haki za wanawake.

Unajua kwenye hizi story ni msumari mwanzo mwisho najua hauwezi kuelezea Kila kitu lakini hata Kwa Prisca ilikua hivi hivi waungwana wakahoji mbona hatusikii Kinga? Majibu yakatokea.

Kwa hizi ratiba za mechi kusikia mtu amekamata ujauzito sio jambo la ajabu.
Mwisho wa siku Hadi hapa tulipofika Bado wewe ndio unajua Nini kilitokea sie tumeishia hapo kwamba anania ya kwenda shule.

Ujasiri mwingine ni wa kumkandamiza Iryn ofisini kwenye kochi. Hapa itabidi Watu8 akuongezee nyota ya pili.
 

Leo sijaenda mkuu
 

Ukinambia Chuo hakuna Limit hapo sawa nitakuelewa ila sifikirii Iryn akubali kubeba mimba wakati anajua hakuna future na anajitambua, sifikirii kwakweli
 
Ukinambia Chuo hakuna Limit hapo sawa nitakuelewa ila sifikirii Iryn akubali kubeba mimba wakati anajua hakuna future na anajitambua, sifikirii kwakweli

Kiongozi, mapenzi upofu kaka. Angekua anaejitambua asingemuacha jamaa wa ufaransa Kwa kuwa anafamilia Tena wanafanya biashara pamoja akaja kudondokea kwako akafa na kuoza Tena akiwa anamfaham Mama J na J mwenyewe.

Ikifika kwenye mapenzi kujitambua hua inakuja baadae sana.

Tokea alivyoondoka na picha ya Junior nikawaza akili yake itakua inatamani sana awe na mtoto.

Hapa najiuliza endapo Mzee wake alimuuliza ile picha ya J ni ya nani na Iryn alijibu kitu gani.
 
INSIDER MAN Huyo Iryn hana msimamo ni kumpotezea mazima.Ikiwezekana simu zake block kabisa.Na nyumba uhame asije akaja nyumbani kujifanya anamfuata mama J AU Junior.
Yeye mwenyewe kajileta kuliwa kimasikhara Halafu analeta za kuleta.Ikiwezekana hata Kazi yake resign .Tayari Mzee Juma ameamua KuSupport kusoma masters na baadae upate kazi ya maana.Machungu yako malizia Kwa Mary kama mchepuko🤔
 
Insider upewe maua yako, hii story iendelee kutuambia mwisho 70 ni uongoo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Iryn kapindua meza kaona ajitoe kwenye race

Hata ningekua mm ningeachana tu na mwamba tho nampenda[emoji23] Mapenzi maana yake freedom sasa mpo kwenye mapenzi ya kificho plus dhambi nyingine zinaongezeka kama uongo na unafiki[emoji119][emoji119] yani unakaa kwenye mahusiano na mtu afu hauna uhuru nae bado unaongea na mke wake kama best yako[emoji119][emoji119] huo ni unafiki kiwango cha rami jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…