Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Ndo maana wanaume wengi hawatak mabest zako waje om kwako[emoji16][emoji16][emoji119]Hata ningekua mm ningeachana tu na mwamba tho nampenda[emoji23] Mapenzi maana yake freedom sasa mpo kwenye mapenzi ya kificho plus dhambi nyingine zinaongezeka kama uongo na unafiki[emoji119][emoji119] yani unakaa kwenye mahusiano na mtu afu hauna uhuru nae bado unaongea na mke wake kama best yako[emoji119][emoji119] huo ni unafiki kiwango cha rami jamani