Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kumbuka nyumba nimehama tayari, hatujui Kwanini kachukua maamuzi haya
Nina uhakika hawezi kuvumilia hii kitu kustik na huo msimamo. Atatengua mwenyewe. Ila kwa sasa atavumilia. Akienda south tu atakutengenezea njia tu uende huko
 
Kwanza kabisaa nitoe pongezi kwa ku take your time na kuandika hii life experience story. Out from this nimejifunza vitu vingi, matukio ya humu yanaibua themes na messages nyingi kwa maisha tunayoishi; UPAMBANAJI, PROBLEM SOLVING, SOCIALIZATION,nk. Haya umeyafanya kwa ufanisi mkubwa bwana INSIDER MAN ,,,,,,tunangoja yaliyo mazuri zaidi.👏👏👏👏🙏
 
Kutembea na mke au mme wa rafiki yako n hatari sana, kuna mdada mmoja na mfahamu aligundua rafiki yake ana tembea na mmewe, alimfanyia tukio hilo!!

Kwanza alivunga kama hajui kitu, ikatokea kwake kukawa na sherehe marafiki zake wakaja kumsaidia kupika na huyo rafiki yake alikuwepo, akawa amebandika karai la mafuta kwenye moto ili achome maandazi, mafuta yakiwa teyar yameshapata moto, ghafla tu mdada aliinua lile karai akamwagia yale mafuta usoni wa rafiki yake mwaaa!

ingawa n miaka nane sasa imepita ila unaweza usimwangalie mara mbili usoni yule dada n huruma!!
Huo ni Ujinga na uuaji sawa na wauaji wengine.
 
Usikute huyo Irene nishawahi kukutana naye nikaona ni demu wa kawaida tu, maana kila mmoja ana macho yake, tunatazama tofauti.
Hamna mkuu,demu kisu anajitenga kwenye kuonekana wa kawaida kwa mwanaume rijali yoyote. Anaeweza kuonekana wa kawaida kwa wengine na kwa wengine mzuri ni hawa wa kawaida. Lakini wapo mademu visu,visu kweli kweli. Kila mwanaume mwenye utimamu lazima amuone mzuri.
 
Umesahau prisca alichakatwa parking mkuu 😂
Mwamba alikuwa anapambana na papuchi kila mahali, kwenye balcon, ndani ya swimming pool, kuna mahali kachakata papuchi kwa kidole akiwa club, kaichakata zenji, dodoma, kochi la ofisini, na alishapanga papuchi ikienda kwa Madiba ataiibukia kuichakata...
 
kwa kikakoliki kuzini ni kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ila ukifanya ukiwa ndani ya ndoa ni Uasherati

Ila ndugu yetu kidini hujamuoa mama J ila kimila ni mkeo lakin maandiko hayo hayo yanasema “lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa” kwa macho ya kibinadamu sio mkeo wa ndoa ila kirohoni ni mkeo mana wewe mwenyew unakubali kuwa ni mkeo
Duuh ndo mejua leo hiki kitu au umechanganya mkuu😅
 
Back
Top Bottom