Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Bora wewe umewahi hta kumuona huyu maana Iryn mwenyewe anatuchnganya maana picha zake humu zimetpiwa za kutosha na wadau ni km kinyonga mara mnene,mwembamba, mweupe ,maji ya kunde yani ili mradiHuyu Claire mbona kama ni lgbtq
Usikute wanakoboana na Iryn
Anamuonea wivu Insider