Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Binafsi Nimeumia sana hio sehemu!Mmemaliza kulana halafu mnakwenda kumu enjoy mamaJ, ati vipi na kazi wakati mnanuka uzinifu hapo🤣🤣🤣
Binafsi Nimeumia sana hio sehemu!Mmemaliza kulana halafu mnakwenda kumu enjoy mamaJ, ati vipi na kazi wakati mnanuka uzinifu hapo🤣🤣🤣
Umerudi na hasira za Mama J kwenye uzii wetu tupumzishe Tumekosa"Anyway nitafound out soon naona kuna sehemu unatumika ila kwangu kama unajilazimisha.”
Doubt breaks negativity and negativity breaks the trust and once trust is broken it will never be the same! !
inawezekanaWadau wanabet tu hakuna anayemjua personal
Ila huyu Claire aliyeenda kuishi naye na hv ni watoto wa kishua hawashindwi kuwa wanakoboana
@Antonnia umeumia sana Kwa mama j,naona comment zako mfululizo....itakuwa umewai kupigwa tukio.kama ya mama j...sio Kwa maumivi unaloonyesha hivi."When You Have Everything? What could you possibly desire?."
Just Long life and amani ya moyooo bas!
Hivi ndio vitu ambavyo huwezi vinunua kwa pesa wala madaraka !
Kwa hiyo unataka kusema penzi la insider jamaa kapambana na vibopa, kashinda now inabidi aanze kulipigania kwa wana LGBT tena....? Kweli hapa duniani ni kazi kazi kupumnzika ni mbinguni na mbinguni nako kuna kazi tena ya kuimba nonstop.....sa sijui itakuajeWadau wanabet tu hakuna anayemjua personal
Ila huyu Claire aliyeenda kuishi naye na hv ni watoto wa kishua hawashindwi kuwa wanakoboana
Mbona kawaida sanaaKwa hiyo unataka kusema penzi la insider jamaa kapambana na vibopa, kashinda now inabidi aanze kulipigania kwa wana LGBT tena....? Kweli hapa duniani ni kazi kazi kupumnzika ni mbinguni na mbinguni nako kuna kazi tena ya kuimba nonstop.....sa sijui itakuaje
Ngoja tuone ila me nimepata red flag hapo Iryn alipohamia kwa ClaireKwa hiyo unataka kusema penzi la insider jamaa kapambana na vibopa, kashinda now inabidi aanze kulipigania kwa wana LGBT tena....? Kweli hapa duniani ni kazi kazi kupumnzika ni mbinguni na mbinguni nako kuna kazi tena ya kuimba nonstop.....sa sijui itakuaje
Hizo red flags zina make sense. Maana how come muda wote huo alikua katulia kwake ila from no where mtu anaanza kwenda kulala huko by the name of upwekeNgoja tuone ila me nimepata red flag hapo Iryn alipohamia kwa Claire
Hapana waasherati ni wale hawajaoa wala kuolewa waki do sex hao wanafanya uasheratiKwa tuaokumbuka mafundo ya komunyo na kipaimara maelezo ndo yalikua hayo hayo mkuu uasherati ni kuzini ukiwa ndani ya Ndoa
OkHamna mkuu,demu kisu anajitenga kwenye kuonekana wa kawaida kwa mwanaume rijali yoyote. Anaeweza kuonekana wa kawaida kwa wengine na kwa wengine mzuri ni hawa wa kawaida. Lakini wapo mademu visu,visu kweli kweli. Kila mwanaume mwenye utimamu lazima amuone mzuri.
Kiukweli nimetosheka na penzi lako na Iryn, ni muda sasa wa kuachana na michepuko uirudie familia yako, nilikua sijui kama namkubali sana Mama J hadi nilipofika hii episode ya 68.
dem sengerema sana hili we unaliwa kando unataka kuwa kina sijampenda shes cheap whore af still anataka kwenda kwako kusalimia bla bla nawewe insaida njaa zitakuua mtoto wa kiume mpk unasahau familia sasa ngoja mke akuache uone venye utaokota makopo sipendi mianaume ya bei rahisi isio na msimamo inanunulika na kupelekeshwa mazafanta na hii fiction siendelei tena kusomaRYN: “I know, unafikiri Mzee atafikiri nini wewe usipolala hapa?”
Mwamba huko kote watu walikua hata hawana muda sana, watu walikua wanasoma wakiwa na shauku ya kukutana na Iryn tu. Hauoni siku umeiweka mambo wazi wengine wakasema ndio mwisho wa kufuatilia huu uzi? Sio kwamba walikua wanakubaliana na jambo lako na Prisca ila Kuna kitu kikubwa zaidi walikua na shauku nacho.Kwa Prisca mlikuwa kimya ila kwa Iryn haya yameanza kutokea why?[emoji3]
Khakhakhaaaa!!@Antonnia umeumia sana Kwa mama j,naona comment zako mfululizo....itakuwa umewai kupigwa tukio.kama ya mama j...sio Kwa maumivi unaloonyesha hivi.
Khakhakhaaaa!!
Haya mambo yasikie tu kwa jirani! Maumivu yake yanauma kuliko maumivu ya kisu!