Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

sasa una
Nitamani mtu ambaye simjui? Have some respect b*tch, kwa hizi replies zako seems unanuka shida na wivu na gubu limekujaa. Na wanawake kama wewe always hamnaga mvuto
niita mwanamke mwanzo ulisema namuonea wivu mwanaume mwenzangu mkuu ukiendelea kuendekeza ushoga shahwa zinalainisha ubongo slowly tutakukosa hapa maana as it is mpaka sasa una tatizo kubwa get well soon na uache kufukuliwa mtaro huo
 
Usikute hata mama J naye alikuwa analiwa na lecturer huko chuo. Mambo mengine Insider hawezi andika humu[emoji23]
Hahaha Hatari sana !

Inauma Unantunzia mtu ambae anakitombesha nje balaa lol🙌🙌🙌!
Sema nature ya wanaume majority mko hivo but mnaweza kukontrol na kubalance hisia naona Iryn alimvuruga sana jamaa hadi akashindwa kujikontrol hisia na kumfanya mama J ku doubt!
 

Iryn anaonesha kumpenda mwana kabisa na sio kwamba ana pretend ni true love kwa Jamaa.

Hawa wamependana serious wametengeneza bond kwa muda mrefu kiasi kwamba wameingia kwenye mahusiano.

Mpak sasa Iren hawezi bila Jamaa hata msg aliyotuma ni wivu tu ila anampenda mwamba. Kitendo cha kumtambulisha kwa baba yake na rafiki yake kma ni boyfriend wake ni kweli anampenda Jamaa na ameoza tayari.

Nahisi dem ana mimba tayari ya mshikaji na hataki ajue kama anayo, huenda anajifikiria aitoe au abaki nayo.
 
Kumpenda sio kosa na hii imetokea kwa ile closeness walokuwa nayo muda mrefu wanatoka out hadi usiku Mara wameenda dinner n.k n.k ikajenga attachment fulani kati yao ila si anatambua fika kuwa kuna mama J anatakiwa ajitahidi kujikontrol!.
Bila kujali kama mama J hawajafunga ndoa au laa!
Kwanza mpaka hapo mbona jamaa anamtambulisha mama J kwa ndugu jamaa na marafiki zake kibao kama ni mkewe???

Mke mkubwa ana baraka zake asee!

Kwa zile hamuu ukute alikua ovulation japo jamaa kasema kwasasa hawezi kumzalisha ilihali Iryn bado anasoma so wanachofanya ni kuenjoy tu kwakwenda mbele!
 
sasa una

niita mwanamke mwanzo ulisema namuonea wivu mwanaume mwenzangu mkuu ukiendelea kuendekeza ushoga shahwa zinalainisha ubongo slowly tutakukosa hapa maana as it is mpaka sasa una tatizo kubwa get well soon na uache kufukuliwa mtaro huo

Inaonesha ndo michezo yako kaka/dada itapendeza ukiweka na namba zako za simu ili upate wateja na usisahu kulipia na tangazo.
 

Kuna wanawake wanajua mapenzi mpaka unadata, jamaa kapewa mapenzi mpaka kapoteana. Na penzi likiwa jipya haya ndo matokeo hata mke wako unamwona fala, same to women
 
 

Attachments

  • Jetty Lounge.jpg
    63.9 KB · Views: 24
Insider amefanikiwa kitu kimoja kwa wafuatiliaji wa hii story yake. Kwa namna alivyomuelezea na kumsifia huyu Iryn, amefanya kila mmoja ajenge taswira na awe na "Iryn" wake kichwani". Ndiyo maana unaona picha mbalimbali za "kina Iryn" zikiwekwa humu maana hao wanaoweka hizi picha, huyo ndiyo Iryn wa vichwani mwao. Picha zingine mpaka mtu unazishangaa, lakini ndo hivyo tena mwngine ndiyo anaona ni bonge la demu, yaani pisi kali.
Yawezekana kabisa huyu Iryn wa Insider (ukizingatia aliwahi kukiri kuchelewa kuanza ama kuwajua wanawake) akawa ni mwanamke wa kawaida sana sana machoni pa wanaume wengi humu. Hii ni kwa sababu beauty is in the eyes of beholder.... Yes, "uzuri" ni relative, unayemwona wewe mzuri saaaana, wengine watamwona wa kawaida na wengine huenda wakamwona hakuna kitu kabisa. Ndiyo maana siku akiweka picha yake hapa, wapo ambao wataishia hapo hapo kufuatilia hii hadithi nzuri ya kusisimua.
 

Hata Episode za nyuma alimwambia Iryn mama J atabaki kuwa mke mkubwa no matter what, hii inaonesha jamaa anampenda mke wake ila ndo ajali kazini.

Na inaonesha mwamba kwa mama J hafurukuti na anamuogopa sana[emoji23]
 

Waabeshi ni wazuri by nature,

Mama ni muabeshi + Baba ni Mzungu unafikiri mtoto atakuwaje?

Hiyo combination ni hatari ogopa sana waabeshi ni wazuri sana asee, mwaka 2021 nilikwenda Ethiopia kikazi, nilipagawa sana. Hawa watu ni wazuri sana wamebarikiwa by nature, [emoji1544]
 
Kuna wanawake wanajua mapenzi mpaka unadata, jamaa kapewa mapenzi mpaka kapoteana. Na penzi likiwa jipya haya ndo matokeo hata mke wako unamwona fala, same to women
Yeah hilo nalo ni changamoto sana kwa wanaume unakutana na mwanamke kitandani anayajua balaaa lazima udate!
Plus Iryn yuko vyedi kila idara!
 
Yeah hilo nalo ni changamoto sana kwa wanaume unakutana na mwanamke kitandani anayajua balaaa lazima udate!
Plus Iryn yuko vyedi kila idara!

Hili suala lilinitokea kazini ndomana sitaki kumshtumu jamaa. Alikuja field mtoto wa kimbulu ni mzuri sana na alikuwa under my supervision.

Nikamtongoza mtoto akajaa mazima. Baada ya kumla kwa mara ya kwanza nilipagawa kwakweli mpaka nikaanz kudanganya kwa wife nakwenda kikazi lengo niwe na shinda na mtoto hotelini.

Haya mambo yapo kwakweli kwasasa nipo makini sana. [emoji1544]
 
Ujinga gani huo? Kuna sehemu alifanyia home? Nimesoma vizuri sijaona akifanyia nyumbani.
Alichomaanisha Antonnia ni kwamba, sawa mmeshaamua kutafunans huko, kwanini waje nyumbani wakiwa kama marafiki wa kawaida wakati Wana mambo zaidi ya urafiki na Mama J anamchukulia Iryn kama mtu wa karibu na familia?

Hiyo ndio dharau inaongelewa hapo.
 
Yeah hiko tu! Sijamaanisha ujinga kama kuwatusi hapana ni ile dharau iliopitiliza kwa mkewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…