Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mhhh yani watu wanavyotirirk humu mara Iryn hivi mara vile mipicha picha kibaoo...ur all obsessed...
 
Insider na iren wakiwa Zanzibar
IMG_3486.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakweli hata mm nilikua sijui kama namkubali mama j hivi
I'm glad tuko wengi[emoji3][emoji3] Insider awe makini asije akapoteza alichokijenga kwa muda mrefu kwasababu ya utamu wa Iryn. It's enough now!
 
Waabeshi ni wazuri by nature,

Mama ni muabeshi + Baba ni Mzungu unafikiri mtoto atakuwaje?

Hiyo combination ni hatari ogopa sana waabeshi ni wazuri sana asee, mwaka 2021 nilikwenda Ethiopia kikazi, nilipagawa sana. Hawa watu ni wazuri sana wamebarikiwa by nature, [emoji1544]
Kabisa. Hivi napambania goli nipate mhabeshi mmoja wa kuringia mitaani
 
Kwan wewe si umesema husomi tena hii stori kisa insaida anamzingua mama j.ulikua unatishia kujamba, ona sasa umeharisha kwenye dala dala na umeshika bomba no seat.

Uyo mwanaume ana makasiriko sana, anaumia mama J kusalitiwa sasa sijui anataka aliwe yeye?[emoji3]
 
Huyu wa kwanza ana balaa..... Shepu nizitakazo hips kidg tako flanii..... Oyaaah hiz shepu Kuna mnyamwez alinivuruga mzee
 
Back
Top Bottom