funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
INSIDER MAN haya watoto wa kihabeshi hawa ndugu zake Iryn. Vyuma vyenye akili zaoView attachment 2787264View attachment 2787265View attachment 2787266View attachment 2787267
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli kwenye episode za nyuma kuna sehemu kasema iryn anampenda junior adi Leo hiiUtabiri wangu unaenda kutimia, Iryn will die, hauwezi ukaandika story ya kumkumbuka mtu ambaye bado yupo hai.
Baada ya Iryn kufa, pasi anapewa Mary. Kwahiyo hadi hapa story ishaisha, tunataka tujue TU Mary atailiwa vipi, Iryn tushajua alivyokufa
Nishingap kwa siku hiyo melia hotelMelia nilikaa siku tatu Kwa nyakati tofauti tofauti niseme tu wale jamaa wanajua wanachokifanya, kuanzia mazingira, wahudumu, vyakula na vyumba vyao, wako vizuri sana.
Bahati mbaya sana Mara zote hizo nilikua peke yangu bila mwenza.
View attachment 2786877View attachment 2786876View attachment 2786875View attachment 2786873View attachment 2786874
View attachment 2786868View attachment 2786869View attachment 2786871View attachment 2786872
hajawakisha kiiivyo, hukumbuki kuna sehemu aliambiwa "babe jana sijaenjoy kabisa" hv hyo statement uliichukulia kwa uzito wake, ina maana demu aliingia gharama akiwa na matarajio makubwa, hakuyaona, akashtuka akaona mbona kama pesa yangu inataka kwenda bure, ndo akaona amstue jamaa, sijui sasa kama baada ya kuambiwa hvo alifanya kweli au alishia tu kusema "leo utaenjoy swirry" sijuiHongera sana mkuu kwa kutuwakilisha vyema kiumeni [emoji1][emoji1][emoji1]
Mwezi wa 11 mwishoni lazima uende South Africa ukamkamue tena ili aendelee vizuri na masomo [emoji1][emoji1][emoji1]
Nishingap kwa siku hiyo melia hotel
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mwamba unakaba sanahajawakisha kiiivyo, hukumbuki kuna sehemu aliambiwa "babe jana sijaenjoy kabisa" hv hyo statement uliichukulia kwa uzito wake, ina maana demu aliingia gharama akiwa na matarajio makubwa, hakuyaona, akashtuka akaona mbona kama pesa yangu inataka kwenda bure, ndo akaona amstue jamaa, sijui sasa kama baada ya kuambiwa hvo alifanya kweli au alishia tu kusema "leo utaenjoy swirry" sijui
kawaida tu boss[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mwamba unakaba sana
Aliyesema ivyo ni insider ndo alimwambia Iryne baada ya jana kutokupiz wakati wanasex. Kuwa makini mkuu kusoma storyhajawakisha kiiivyo, hukumbuki kuna sehemu aliambiwa "babe jana sijaenjoy kabisa" hv hyo statement uliichukulia kwa uzito wake, ina maana demu aliingia gharama akiwa na matarajio makubwa, hakuyaona, akashtuka akaona mbona kama pesa yangu inataka kwenda bure, ndo akaona amstue jamaa, sijui sasa kama baada ya kuambiwa hvo alifanya kweli au alishia tu kusema "leo utaenjoy swirry" sijui
Waalimu wanakazi sana asikuambie mtu waache tu wawe na hasira wakisikia bodaboda wanawapita kipato [emoji16][emoji16][emoji16] kunawatu wapo kwa ajiri ya kutoa wenzao kasoro yaani wapo humu ili kutafuta insider atajikaanga wapi wammalize.Aliyesema ivyo ni insider ndo alimwambia Iryne baada ya jana kutokupiz wakati wanasex. Kuwa makini mkuu kusoma story
Ndo ivyo mkuu sema watu wapo kutafuta mapungufu ya jamaaWaalimu wanakazi sana asikuambie mtu waache tu wawe na hasira wakisikia bodaboda wanawapita kipato [emoji16][emoji16][emoji16] kunawatu wapo kwa ajiri ya kutoa wenzao kasoro yaani wapo humu ili kutafuta insider atajikaanga wapi wammalize.
Hawasomi kuelewa yaani wanasoma ili wabishe na hayo ndio matokeo yake
insider man na pia ni mpambanaji ni baba wa anayepambania familia yake do or die. Upambanaji wake na kuwa realWho is your favorite character in the story? So far and why?
1. Mzee Pama, amefanya nione haja ya kumjengea nyumba mchepuko wangu,Who is your favorite character in the story? So far and why?
insider man na pia ni mpambanaji ni baba wa anayepambania familia yake do or die. Upambanaji wake na kuwa real
1. Mzee Pama, amefanya nione haja ya kumjengea nyumba mchepuko wangu,
Baby girl herself Iryn.. i just love her kwa mengi but mostly venye hana mkono wa birikaWho is your favorite character in the story? So far and why?
kabisa man kabisa na ukimpata anayeelewa ni wachache sana subiri wakue waototo utasikia nani kama mama hajui baba kapitia mangapi akiwa anawalea waoFamily First always, kuna vitu huwa tunafanya ila wake zetu huwa hawaelewi tunafanya kwaajili ya familia
Insider manWho is your favorite character in the story? So far and why?
Who is your favorite character in the story? So far and why
Lady Mary because she plays a role of mysterious lover to Insiderman and she waits for the right moment to win your heart.Who is your favorite character in the story? So far and why?