Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kila mtu ana mtazamo wako kwenye kila kitu mkuu... nilishawahi yakimbia mahusiano baada ya kujua kuwa mupenzi nae ana mupenzi wake[emoji23] ila ya sasa hivi nakomaa nayo mana mostly wapenzi wa mupenzi wananikuta ko simwachi mtuu

Swali langu ni kuwa unampendaje mtu ambae tayari yupo kwenye mahusino na mtu ambaye unajua kabisa hata iwaje hawezi kumwacha??

Kuna siri kubwa sana hapa, ukiijua tu unakufa tunakuzika.
 
You my friend. Kwanza Uko vizuri kwenye kupambana.
Pili nilichojifunza zaidi kizuri kwako huna tamaa. Kwa hiyo tamaa inajikuta inakufuata yenyewe baada wewe kuikataa.

Kwanza tukianzia kwenye Ubber katika wateja wako wote uliokutana nao kufanya nao kazi. Hapo vijana wengi wangekuwa wameshaharibu. Iwe kwa kumpiga zaidi ya bei ya kawaida kwenye usafiri,maana kuna muda ulikuwa unaachiwa useme ni kiasi gani ktk mizunguko yenu,lakini mwamba ulikuwa unacheza fair unawaambia nauli ya kawaida bila kuangalia uwezo wa mtu. Kuna muda ulikuwa unawapa fair kabisa kwa kuwaambia leo nauli nimesamehe. Hicho kilikuwa kinawaachia maswali sana. Na kimekutengenezea uaminifu sana.

Mfano mzee Pama,ingekuwa kijana mwingine angekuwa ameharibu kitambo kwa huyu mzee,iwe kwa kumuomba omba hela hasa pale ulipopewa uhuru wa kusema chochote utakacho. Kwa mzee Pama ulicheza sana.

Ukija kwa Iryn hujafanya haraka kabisa kama hutaki vile. Kuna muda amekutega sana iwe kwa pesa kukuangalia au kivingine. Lakini mwamba hukuniangusha,umecheza kama Pele. Pamoja na kujirengesha kila mara,lakini ukawa unamkwepa kila mara. Ukasubiri muda muafaka. Ukasubiri muda yeye mwenyewe atengeneze njia ya wazi na aseme kwa sauti na mwisho amesema hapo ukafanikiwa tena kwa kiasi kikubwa kumfanya awe weak kwako kwa hali. Umejijengea uaminifu mkubwa sana kwake. Hongera sana.

Pia ukija kwa wengine kama Mbotswana, Prisca,Jane,Mary,Sumaiya. Umecheza kwa nafasi yako murua kabisa. Hukuikimbilia kuichagua tamaa. Tamaa ndio ikawa inakutafuta yenyewe.
Kwa ujumla kuna mengi ya kuelezea kuhusiana na hii FILAMU,lakini naona nitawachukulia muda. Kuna mengi sana ya kujifunza

Nasemaje MUNGU anijalie tu nipate maokoto, Hii ni bonge moja la series. BONGE MOJA LA FILAMU.

BIG UP SANA INSIDER MAN

Ishu ya Pama nitawapa Addition kidogo, ukisoma episode ya 6 nilisema Mzee alikuwa na Msaada sana kwangu, sikutaka kuandika mambo mengi kuhusu Pama ila bado anaishi sana Moyoni mwangu. Kuna Jambo lilitokea ndo kuanza kuniamini na kunipenda sana,

IMG_3457.jpg
 
Bimkubwa wako japo hajaonekana mara nyingi ila kuna namna alikuwa ananikosha na ushauri wake juu ya matatizo uliyokuwa ukimpelekea.
Nasema hivyo sababu bimkubwa wako anaplay role yake vizuri kama mzazi kuhakikisha mwanae hapati madhara ya walimwengu.
Ukimtoa huyo aisee irene amecheza part yake fresh kwenye hili muvi as among the main characters na huwa kila nikijaribu kumuimagine sipati picha namna alivyo.
Ukimtoa huyo wengine wamecheza characters zao vizuri ikiwemo wewe japo ilibidi matukio mengi ujihusishe wewe sababu wewe ndie narrator wa story.

All in all big up movie lako lina hadhi ya kwenda manetflix .

Mnashauri tuipandishe movie DSTV, kwa humu JF character ya Mary atacheza nani?[emoji3]
 
Bei zinategemea na msimu. Wakati wa watalii wengi zinakua juu. Pia inategemea aina ya chumba unachotaka. Mara ya kwanza nilienda mara baada ya corona kupungua hotel zikafunguliwa nikapewa discount usd 500.
Kuna vyumba Hadi vya usd 10,000. Sijui wanaita suit takataka gani.
President suit .
 
Monk ni hapa JF Mkuu, kama wewe ulivyo muuza ubuyu hapa. Lakini uraiani nna familia kabisa. Nilitamani tungekua na wife ratiba zikagoma.

Hata wahudumu wakawa wanauliza kwanini nipo peke yangu? Kidogo tuyajenge na mhudumu mmoja ndio nikakumbuka mie ni The Monk

Hawa Melia hata Ile ya Arusha wako vizuri. Sio mpenzi wa kula sana ila Hawa jamaa ukienda kwenye sehem ya vyakula unachanganykiwa. Ngozi ilinawiri siku mbili tu.

Melia Arusha

View attachment 2786962

View attachment 2786963

View attachment 2786964sikuwa na mpango nilibahatika baada ya Qartar airline kupata hitilafu kili airport Mzee tukafaulishwa Meliá, mkuu kama ulivyosema kwenye menu ni balaa everything is scrumptious man nilitamani nile desert Tu mwanzo mwisho. Napanga nilaibukie rasmi japo 3 days
 
Back
Top Bottom