Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Dah INSiDER MAN kaitaja Gran Meliá kanikumbusha mbali, once nililala Meliá Arusha ,hizo hotel ni balaa buffet ,rooms kila kitu automated ,lights ,shower ,TV ni balaa. I still dream about the hotel

Melia wana hotel nzuri sana, nimewahi kulala Arusha na Dubai, dubai ME by Melia hatari san hiyo
 
Baby unajua nachukia sana hawa kenge wanavyokuangalia hivi?” Hii kauili ya kiboya sana asee mzee umepandisha sana mabega
 
Who is your favorite character in the story? So far and why?
Wa 1 ni wewe hapo INSIDER MAN jinsi ulivyo pambana kuanzia kwa mjomba mabegi ya kichina mpaka kuwa dereva wa Uber mpaka meneja halafu sio mtu wa kupenda kitonga una work hard.

Wa 2 ni Mama J mmetoka mbali kaku push sana.

Wa 3 ni Irene

Wa 4 Mama yako
 
Akiweka episode mpya naomba unipigie simu 👍
 
huyu ndo iryn mwenye sasa kwa ambao hamumfaham
20231019_210858.jpg
 
Baby unajua nachukia sana hawa kenge wanavyokuangalia hivi?” Hii kauili ya kiboya sana asee mzee umepandisha sana mabega
Maisha hayako serious hivyo. Halafu hiyo inamfanya mwanamke awe na feeling ya kupendwa na anayempenda kwa kuwa yeye ni mzuri.
 
Back
Top Bottom