INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,963
- Thread starter
- #9,921
Insider man akiwa na mtoto iryn south Africa View attachment 2787634
Huo mzigo kama wako[emoji41]
Insider man akiwa na mtoto iryn south Africa View attachment 2787634
Mzee baba vipi tulale tulinde ndoa au tusubiri?[emoji120]
Vipi kaka leo tusubiri auKama umemaliza kusoma EP65 nimeweka link ya kwenda next Ep,
My favorite character in the story ni Junior yaani yeye Jr. nimemfananisha na chaliii yangu sana japo daaah big story, i lost my son like Jr same days same age to Jr kila nikifika kwa story ya Jr lazima nilie...😭😭😭😫😫😫Who is your favorite character in the story? So far and why?
Vipi kaka leo tusubiri au
Mzee wa nukta 😅😅😅😅Nukta
Halafu inside mapenzi hayo ya Irene huwa nayependa ulaya ndio wako ivyo yaani mate kila mahala hata kwa daladala ,supamaketi. Ila ulizingua Ile kumcheki privacy zake mpaka dm za social networks. Ukipata demu mzungu ukifanya ivyo ndio utajua na una bahati angekuwekea mtego akakunasa ungekula ban mazima. Yaani kumuoa ama kuolewa sio kuwa ndio unammiliki mpaka anachopenda ama Uhuru. Yaani afrika wanajua mpenzi wako Ni mtumwa wako. Ile Ni just agreement ya wawili kuishi pamoja
Dah INSiDER MAN kaitaja Gran Meliá kanikumbusha mbali, once nililala Meliá Arusha ,hizo hotel ni balaa buffet ,rooms kila kitu automated ,lights ,shower ,TV ni balaa. I still dream about the hotel
Wa 1 ni wewe hapo INSIDER MAN jinsi ulivyo pambana kuanzia kwa mjomba mabegi ya kichina mpaka kuwa dereva wa Uber mpaka meneja halafu sio mtu wa kupenda kitonga una work hard.Who is your favorite character in the story? So far and why?
Hawa binadamu wapo kwenye penzi zito, hii ni akili ya ya mwanaume kumuweka kitanzini huyo dada bila yeye kujua anaingingizwa kwenye 18.Baby unajua nachukia sana hawa kenge wanavyokuangalia hivi?” Hii kauili ya kiboya sana asee mzee umepandisha sana mabega
Akiweka episode mpya naomba unipigie simu 👍Wa 1 ni wewe hapo INSIDER MAN jinsi ulivyo pambana kuanzia kwa mjomba mabegi ya kichina mpaka kuwa dereva wa Uber mpaka meneja halafu sio mtu wa kupenda kitonga una work hard.
Wa 2 ni Mama J mmetoka mbali kaku push sana.
Wa 3 ni Irene
Wa 4 Mama yako
Poa Mkwe wa mwananguAkiweka episode mpya naomba unipigie simu 👍