Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hayo maneno ya kutoEnjoy walikuwa ya Insider....ndo Iryn akamwambie ataenjoy.

Soma vizuri mkuu.
 
Haha! watu wana mapito mbalimbali but ile hadhi ya mke/ mume inaheshimiwa sana!
Hapo binafs naona jamaa alimdharau sana mkewe over mchep!
 
Uzi una views Million 3 comment elfu 10 🤗 INSIDER MAN toa kitabu kitauza sana 🙏
Yes,mind inapenda pleasure mno yaani mno. Mwambie mtu tukalime bustani tupande mboga atakumaindi hata akuue smt Ila Sasa mpe pleasure atakuona uu mjanja. Kiufupi Kuna ishu zinatutawala binadamu. Ni ngumu ukatoka katika ubinadamu ukawa unauuona kwa chini kabisa.

Hapa kwa kitabu angeuza 3k Ina manna hapa Hawa 3M angepiga 3bilioni tatu ,tayari kwani mtu hajatoka kimaisha. Yaani wekeza kwenye mapenzi na Bata Bata binadamu hachomoi mbele ya Bata ,na ndio mana tbl dunia nzima zitazidi kupanda stocks zao.
Ingebidi na Malaya wawe na trading index yao,watu tu trade their price fluctuations,Kama bia,sigara hiisa zao ziko listed katika NYSE,LSE why na Malaya wasiwepo ili tuinvest kwao,Mana hapa hela yako haiwezi Shuka kamwe always itapanda..

Jamaa nadhani angeishia pale stori ya airene asema hapa toa 2k uungwe kwa group baadaye aanze kuwapa story alivyomla airene nadhani angepata hela mno. Yaani human being sex desire energy having high vibration of frequency is strong such way we can turn/harness that energy of sexual desire to generate electricity that can illuminate the whole universe.

Ndio Mana invetors and great scientist,hata wapiganaji wakubwa wa michezo wote wakubwa hata great rich people ambao wanaa majina unaowajua huwa wanaweka pending mahusiano Mana Yana drain mno both physical, emotional,mental and spiritual energy. Wana practice celibate. Nikola Tesla ,Jeff Benzos,bill gate ,Tyson aliishi 5yrs bila ya kula mbususu Ila muda huo alikuwa the beast.
Yaani Kama unataka kukwea juu ya kuwa like them I don't think you can have the name duniani na still mahusiano yakawa poa mno.
Wake wa rich men hawapati Ile emotional satisfaction ya mme Mana muda mwingi anakuwa bize na shares and stocks prices fluctuations za various companies anacheki niuze huu mchele ninunue ng'ombe,ama saivi alizeti wamevuna ninunue ,na chai Mara niwekeze kwa kitunguu anakuwa ana diversify his eggs in one basket.
 
Kuna watu wanaOverRate uzuri wa iryn vichwani mwao sababu imesemekana ni wa kishua😂😂😂😂
 
Msaada, naomba mdau yeyote ai-quote Episode 68, page yake kwangu inagoma kufunguka.
 
Hii hapa Wildlifer
 
Lkn pia maokoto yapo Sana mm napenda lengo la jamaa siyo pisi ile Ni ile maokoto anayopata kwa mrembo yule na Soon atanunuliwa gari

Hata mm mke namuacha kwa muda nifannye maokoto ya kutosha

Ndugu zangu maisha siyo mepesi Kama mnavyofikiria eti jamaa Hana msimamo ,msimamo mbele ya maokoto acheni hzo wazee
 

Atakuwa alinunuliwa Benz kuna uzi nimeona anaulizia zinakopatikana spares za Benz kwa Dar [emoji1544][emoji1544]

M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…