Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Litro mtazamo wako uko sawa kabisa, and alichofanya Insider sio sahihi, but from man's perspective ninamuelewa jamaa na siwezi mlaumu.
 
Haya ukapata mwenye maokoto zaid utaenda na mwingine utaenda utaacha wangapi kuwa mtumwa wa pesa pesa hazijawahi kutosha utachoka uje zikwa na kilo moja unusu
 
Nyie ndo magreat thinker sasa unaandika kitu kinasomeka kinaeleweka mkuu
 
Mhhh yani watu wanavyotirirk humu mara Iryn hivi mara vile mipicha picha kibaoo...ur all obsessed...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakweli hata mm nilikua sijui kama namkubali mama j hivi
I'm glad tuko wengi[emoji3][emoji3] Insider awe makini asije akapoteza alichokijenga kwa muda mrefu kwasababu ya utamu wa Iryn. It's enough now!
 
Kabisa. Hivi napambania goli nipate mhabeshi mmoja wa kuringia mitaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…