Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Humu ndani unaweza ukakuta page zimeshushwa ukajua kijana insider ameshusha uzi kumbe watu wanabishana matent [emoji16][emoji16][emoji16]
Sema jamaa nae anazingua yani mpaka sasa hataki kumalizia episod na zimebaki mbili tu.. Hii ngoma ilikua iishe wiki mbili zilizopita uko kama angekua anafata makubaliano ya kila wikiend.. sijui anafeli wapi
 
Point ya dada atoe kitabu auze copy kuna watu wengi hawajosoma bado, ila kwa bongo ni hasara simshauri afanye hivyo
Bongo, ununuaji na usomaji wa vitabu bado tunajikongoja sana, labda atoe matoleo mawili, la kiswahili kwa ajili ya jamii ya waswahili na la kiingereza kwa wazungumzaji wa lugha hiyo na hilo toleo la lugha ya malkia ndiyo alipambanie liuze huko online.
 
Waabeshi ni wazuri by nature,

Mama ni muabeshi + Baba ni Mzungu unafikiri mtoto atakuwaje?

Hiyo combination ni hatari ogopa sana waabeshi ni wazuri sana asee, mwaka 2021 nilikwenda Ethiopia kikazi, nilipagawa sana. Hawa watu ni wazuri sana wamebarikiwa by nature, [emoji1544]
Niliwahi kubishana na mshikaji wangu mmoja miaka 10 iliyopita juu ya uzuri wa waabeshi wa kike nikamwambia kuwa kwa africa yetu huenda ndo ikawa jamii namba moja kwa wanawake wazuri, lakini yeye alikuwa mbishi na alitiwa upofu na wale wanawake wa jamii ya kina Mr.Slim, ila kiukweli waabeshi ni taarifa ya habari na ni habari kamili.
 
Waabesh ht Tz tuna copy zao ambao ni wambulu, nyaturu, warangi
Nchi yetu huwa nasema, tumependelewa sana si rasilimali asili tu hadi wanawake wazuri wa jamii zote tatu za kiafrica tunao kwenye makabila yetu kuanzia Neolitic, Hermitic na Bantu zote ndani.
 
Inafurahisha kuona unanipangia cha kufanya, wakati na wewe upo unakomaa kwenye mitandao. Mind your business, hunichangii hata cent ya bundle.

JF idadi ya vichaa inaongezeka Daily.
Wee mwehu kweli kweli aliyekwambia kila mtu amekosa cha kufanya kama ww nan? Bundle za vpn za bure naww unajiita mwanaume ? Kafunge mabox huko
 
Wee mwehu kweli kweli aliyekwambia kila mtu amekosa cha kufanya kama ww nan? Bundle za vpn za bure naww unajiita mwanaume ? Kafunge mabox huko

Endelea kuteseka mwanaume unatabia sa kidelicious kufatafata wanaume PM unataka upakwe nazi?
IMG_3548.jpg

Kwangu si unakujua? Badae pita na nazi,
 
Niliwahi kubishana na mshikaji wangu mmoja miaka 10 iliyopita juu ya uzuri wa waabeshi wa kike nikamwambia kuwa kwa africa yetu huenda ndo ikawa jamii namba moja kwa wanawake wazuri, lakini yeye alikuwa mbishi na alitiwa upofu na wale wanawake wa jamii ya kina Mr.Slim, ila kiukweli waabeshi ni taarifa ya habari na ni habari kamili.

Kuna vitu havihitaji prove combination ya muhabeshi + Mzungu ni hatari na sijui kwanini wazungu wanazaa sana na hawa watu. Ethiopia kwa Africa hana mpinzani kwakweli tuwape maua yao,
 
Sorry 68!

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu
 
Duh kumbe kuna episode hadi ya 78. Basi acha niishie hapa 7. Nimepiga usiku usingizi ulikata tokea saa 9 hadi asubuhi. Hii imeenda nitachungulia comments tu.

Ila jamaa anajua kuandika na kusimulia. Kongole kwake.
 
Point ya dada atoe kitabu auze copy kuna watu wengi hawajosoma bado, ila kwa bongo ni hasara simshauri afanye hivyo
Hivi akisema atoe kitabu Irene si ataweza kujua jinsi jamaa anavyoisimulia dunia namna alivyokuwa anambiduabidua na kum-slap makalio 😂
 
Back
Top Bottom