la cezz
JF-Expert Member
- Oct 4, 2013
- 314
- 264
Ngoja nikuweke sawa hapa. Hizi hizi local beer zipo ambazo chupa unatumia peke yako na haioshwi. Local beer kuna aina mbili 1. Returnable hizi zinakuwa kwenye kreti na zinapatikana sehemu nyingi tu za starehe na huwa zinarudi kiwandani kuoshwa. 2. Non returnable hizi zinauzwa kwenye maboksi haziwekwi kwenye kreti kama hizo nyingine, mara nyingi zinapatikana super market na sehemu za starehe za hadhi ya juu, hizi unanunua bia na unaondoka na chupa hakuna wa kukuuliza.Ladha tofauti mkuu, kwanza heineken unatumia mwenyewe ukimaliza chupa inatupwa jalalani, hizi local chupa zinaoshwa sometimes hawaoshi vizuri unaweza kuta hata nzi ndani ya bia, wewe fanya Research ya local beers.