Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mimi

Ni mama J mwenyewe kiboko ya spaida wakat yeye yupo na ailini makengeza mimi nlianza na mzee pama na sasa lekcha anakula kabla hajala af anakula ili ale
Hivi nani amekukela kati ya Iryn na Insider.
 
Insider na Iryn wakiwa swimming pool
IMG_0931.jpg
 
Ndomana nakushangaa unavyotoa comments kama ulishawai kumuona kumbe na wewe unatoa comments kupitia story.

[emoji1544][emoji1544]
mkuu nikuelimishe tu tena nitumie lugha rahisi kuna watu wana uwezo wa kuchora picha ya mtu na kupatia 100% kutokana na maelezo aliyopewa tu kuhusu mtu huyo. kwa hyo mkuu huyo iryn sio malaya, ni kahaba tena kahaba mchafu.
 
Ndomana nakushangaa unavyotoa comments kama ulishawai kumuona kumbe na wewe unatoa comments kupitia story.

[emoji1544][emoji1544]
Na zaidi hata ungemuuliza hilo swali mtunzi, asingejibu kama unavotaka wewe, labda naye awe kilaza tu.
 
mkuu nikuelimishe tu tena nitumie lugha rahisi kuna watu wana uwezo wa kuchora picha ya mtu na kupatia 100% kutokana na maelezo aliyopewa tu kuhusu mtu huyo. kwa hyo mkuu huyo iryn sio malaya, ni kahaba tena kahaba mchafu.

Sababu ya kufanya massage? au kuna sababu nyingine tena?

By my side nahisi huyu dem alikuwa Jasusi na Massage ilikuwa kama kificho, Insider hawezi andika kila kitu. Ukisoma jina la uzi nahisi kuna siri imejificha kwa Iryn tusubiri mwisho then tuanze kudiscuss
 
Back
Top Bottom