Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

what is the end of the story?

Unaweza kuwa mshindi wa kuonana na mimi Live na ukachagua kumuona mhusika uliye mpenda[emoji41]
Naona kama uliamua kutulia na Mama J mkafunga ndoa kama mlivyo shauriwa na Mzee Juma,pia Irene mliachana kiroho safi mkabaki kama marafiki tu mna keep in touch kama ulivyosema huko nyuma Irene anampenda Jr mpaka leo.

Mie nampenda Jr kwajinsi unavyo muongelea kafanana na mwanangu ana mwaka na miezi 5.
 
Ni ndefu kupita episode zote nimemaliza saa ,2:04 am
 
Ni ndefu kupita episode zote nimemaliza saa ,2:04 am
 
:“Sijasema wewe huna akili but unashindwa kutumia akili uliyonayo kwenye kufanya maamuzi sahihi. Mimi naheshimu maamuzi yako na nimekubali tuachane kiroho safi na nikwambie, naipenda sana Familia yangu na mama Junior atabaki kuwa mke wangu no matter what. “


Everything happens for a reason.
Penzi likiwa climax utadhani dunia ni yenu wawili tu wengine wote hawajui kupendana! Kuna muda tunajizima data tu kucheat kwa sababu mbali mbali but in reality we do love our family! Hili jibu linachoma moyo kuliko moyo kuliko kisu!

Nimeipenda hii japo inaumiza sana kuachana kwa maneno/ malumbano.

Naendelea kusoma 🙇
 
“Roho yangu inakosa sana amani juu ya Iryn nahisi kuna kitu nyuma ya pazia kinafanyika kati yenu. Naheshimu sana kazi yako maana hata mafanikio nina yaona kwa macho, pia nafahamu Iryn ni bossy wako na ni rafiki kwako, lakini napatwa na wasiwasi na huu ukaribu wake kwangu seems like anahide something nisikijue.”

Kuna vitu wanaume mnaweza fanya tukiwauliza mkatuficha tusijue but mioyo yetu inakosa amani au haitulii kabisa juu hiko kitu mioyo inakataa sio mara moja sio mara mbili inagoma kabisa japo physically tunakubali kudanganywa ilaaa dhamiri ya ndani inatupa majibu!

Hapo kwa bibi Wazee wanaona mbali!
 
Asmah alikua anawashwa tu pamoja na kuumwa mguu alikua anakumang'ulia mang'ulia makusudi hahaa eti mfunge mlango !
Hongera hapo uliishinda zinaa!

Kongole kwa mzee Juma ni mtu anaekeep promise na hana ulimbukeni wa pesa akiahidi anatimiza!

Abarikiwe sana!
 
Hamalizi huu uzi mpaka mtafutane nje ya JF na mtoane meno.
 
Kusema ukweli nahisi kabisa kuna muda unaposoma hii story unalowa chapa chapa,uongo?😀😀
(No offense)
 
Katika mahusiano kuna muda inahitaji kufanya maamuzi magumu kwa afya ya familia/ heart hata kwa afya ya maisha na mambo yako tu !

Mwanamke ukiendekeza wanaume ukaendekeza tamaa ya pesa mali sijui utatombwaaaa utatumikaa mpaka basi mwisho wa siku nature inaplay part yake!
Mwanamke usipojisimamia utatombwaaaa mpaka ukome na mwisho wa siku kama ni mume wa mtu anarudi kwa familia yake! Kama ni kitombi atakuchakaza ahamie kwa mwingine!

Hata kwa wanaume ukiendekeza wanawake katu huwezi kuwa na hamu na mtu wako/ mkeo!

Yote kwa yote don't underestimate the infuence of money/ power 🙌🙌🙌🙌

Don't allow love affairs to interfere your job responsibilities

We sometimes learn through mistakes!

Good ,ameizing and interesting story with sad ending!
 
Aiseh🙆🙆🙆🙆😳
 
Kusema ukweli nahisi kabisa kuna muda unaposoma hii story unalowa chapa chapa,uongo?😀😀
(No offense)
Hahaa sio kulowa in such but kuna feelings unazipata zinakukumbusha kitu na kukuhamasisha kuimagine muda huo ungekua na fulani muda huo unanyegeka sana!!
Kwa mimi Ile episode Iryn aliyoliwa tu aloooo salute🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!
 


Hii Iko pande zote! Mmoja akiwa na mambo meusi meusi lazima mwingine nafsi inakua inampa hali ya kuashiria Kuna kitu hakipo sawa. Amani inatoweka bila kujua sababu ni kitu Gani na hisia za mapenzi zinapungua kabisa hata kama hakuna ushahidi.

Ila nimependa sana INSIDER MAN alivyojibu mashambulizi ya "voice note" kashusha makombora ya scud mfululizo.
 
Hilda popote ulipo helloowww 🖐️🖐️🖐️🖐️!
Hilda ni memba wa jf kwa lile tangazo alotoa humu Insaida 🤠!

Just guessing!

Lakini yule si alipelekwa na Mama Janeth? Itakua ndio ule mchakato ulioanzia hapa JF kweli?

Na inaonekana alikua apelekee ofisi nyingine ila maamuzi yakabadilika.

Pia Insider alisema huyo mtu hatakua kwenye ofisi hizi. Ni project tofauti kabisa ( huenda ikawa akili za uzee nimesahau mambo mengine)

Uhenga hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…