Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hii Iko pande zote! Mmoja akiwa na mambo meusi meusi lazima mwingine nafsi inakua inampa hali ya kuashiria Kuna kitu hakipo sawa. Amani inatoweka bila kujua sababu ni kitu Gani na hisia za mapenzi zinapungua kabisa hata kama hakuna ushahidi.

Ila nimependa sana INSIDER MAN alivyojibu mashambulizi ya "voice note" kashusha makombora ya scud mfululizo.
Yeah ni kweli Kabisa japo nyie wanaume inaonekana mmezidi☺️!

Iryn pia nimefurahi amejisimamia kwa manufaa ya familia ya mwanamke mwenzie!!

Mke/ mume wa mtu tena ambae yuko close na familia yake alooo🙌🙌🙌🙌🙌!
 
Lakini yule si alipelekwa na Mama Janeth? Itakua ndio ule mchakato ulioanzia hapa JF kweli?

Na inaonekana alikua apelekee ofisi nyingine ila maamuzi yakabadilika.

Pia Insider alisema huyo mtu hatakua kwenye ofisi hizi. Ni project tofauti kabisa ( huenda ikawa akili za uzee nimesahau mambo mengine)

Uhenga hatari sana
Kuna sehemu alisema huyo mtu ataonana na mama Janet n.k but ukute alisema ataenda ofisi nyingine kutuzuga tu tusiunganishe dots but nahisi kabisa hilda is from Jf Kutokana naile announcement ya job opportunity humu!

Anyway kama ni yeye Insaida abarikiwe sana sana yani!

Helloowww Hilda 🖐️🤠
 
Yeah ni kweli Kabisa japo nyie wanaume inaonekana mmezidi☺️!

Iryn pia nimefurahi amejisimamia kwa manufaa ya familia ya mwanamke mwenzie!!

Mke/ mume wa mtu tena ambae yuko close na familia yake alooo🙌🙌🙌🙌🙌!

Hawa wakionana hautaamini kitakachotokea...haya mambo magumu sana.
 
Hawa wakionana hautaamini kitakachotokea...haya mambo magumu sana.
Once a cheater always a cheater!

Wakikumbushia ni shida zao wenyewe still msingi wa familia umebaki kuwa mzuri kwamba Iryn hajamuharibia mama J totally! Ndoa/ mke na aheshimiwe nawatu wote kwakweli.
 
what is the end of the story?

Unaweza kuwa mshindi wa kuonana na mimi Live na ukachagua kumuona mhusika uliye mpenda[emoji41]
Umezaa na Iryn mtoto wa kike na anaitwa.......


Sema hapa hii kiingereza umeua


MIMI: “Mhhh, you’re not ready to mingle?”

VICKY: “Ofcourse No
 
Jf ndio baba lao zoote....huku mtu unajifunza mambo mengi sana na Kuna watu wanashauri correct sanaa aiseee....Mimi nimeacha kupigwa Ni Vitu vizito kwenye sekta ya Mapenzi sababu ya Jf
Mi mwenyewe nimekomazwa na JF, maana watu wana madongo na mademu kishenzi, imenifanya namimi niwe na madongo.

Yaani JF imenifanya niwaone wademu ni watu wa kawaida tu ambao wao ndo wanatakiwa kutunyenyekea sisi na siyo wao kuwanyenyekea. Demu akishakuwa mzuri basi anajiona, akikutana na mimi mahala, nampigisha stori za Kawaida tu halafu naondoka bila kuchukua namba, basi anashangaa na kujiuliza ana kasoro gani nahuku anajiona mzuri.
 
Ngoja nikajue utaratibu wa ibada wa dayosisi hii nilipo kuja kuishi
Nikirudi naandaa mkeka mrefu wa odds 15 tu.

Kesho Najua tutapata kujua mtoa mada anamtot na muhabeshi.
 
Mie nilikuwa just curious kufahamu hivi inawezekana KUWEKA MSIBA KWA MCHEPUKO tena na MA-TENT juu !? au it was Certified Mchepuko wa Mzee Pama.
Daah na mimi hapo sikuelews kabisaa hata alivyoenda kuzika tena kwa confidence km ni mke rasmi.Labda km mzee Pama na mkewe wali divorce.
Maana ni ngumu kuelewa hata gela alizogaiwa na vikundi tena mamilioni wakati she was just mchepuko.Unless kuna kitu hakijaweka wazi
 
Back
Top Bottom