Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Yeah ni kweli Kabisa japo nyie wanaume inaonekana mmezidi☺️!Hii Iko pande zote! Mmoja akiwa na mambo meusi meusi lazima mwingine nafsi inakua inampa hali ya kuashiria Kuna kitu hakipo sawa. Amani inatoweka bila kujua sababu ni kitu Gani na hisia za mapenzi zinapungua kabisa hata kama hakuna ushahidi.
Ila nimependa sana INSIDER MAN alivyojibu mashambulizi ya "voice note" kashusha makombora ya scud mfululizo.
Iryn pia nimefurahi amejisimamia kwa manufaa ya familia ya mwanamke mwenzie!!
Mke/ mume wa mtu tena ambae yuko close na familia yake alooo🙌🙌🙌🙌🙌!