Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,480
Mke halali wapi? Cheti cha Ndoa ndo kinahalalisha! Lete cheti!Weee sheendwaa! Mama J ni mke tena mke halali kabisa wa jamaa!
Mke halali wapi? Cheti cha Ndoa ndo kinahalalisha! Lete cheti!Weee sheendwaa! Mama J ni mke tena mke halali kabisa wa jamaa!
Ndoivo ni mkewe hizo drama za cheti cha ndoa mnajua wenyewe!Mke halali wapi? Cheti cha Ndoa ndo kinahalalisha! Lete cheti!
Watu wanamilikiwa kwa cheti/mkataba. Ukizaa watoto wakati unawaandikisha kwenye mamlaka husika utatakiwa ulete cheti cha kuzaliwa kinachokuunganisha na huyo mtoto! Mfanyakazi aliyeajiriwa akiachakazi kutoka kampuni A bila utaratibu na kwenda kampuni B, kampuni A kama bado inainterest inaweza kuishitaki kampuni B kwa kuiba mfanyakazi wake (vilevile kwa wachezaji wa mpira, n.k.). Unayedai mkeo akianzisha mahusiano mapya na kupelekea kuzama kabisa kwa jamaa mpya utabaki kulalamika tu na utaulizwa kwani ulifunga naye ndoa?? Utachekwa! na kuanza kuleta blahblah!Ndoivo ni mkewe hizo drama za cheti cha ndoa mnajua wenyewe!
Hi INSIDER MAN umefunga PM yako, nahitaji kuwasiliana na wewe nakupataje?Hii ndo point
Huu uzi umeanza kuwa uzi wa kutafsiri ndoto!INSIDER MAN naomba uniunganishe na bimkubwa wako, maana ndoto niotazo zinanichanganya sana.
Team mama J tukutane pantaleo BBQ Kuna kikao 🤣🤣🤣🤣Weee sheendwaa! Mama J ni mke tena mke halali kabisa wa jamaa!
Hahahaha bahasha limejaa masimangoTwende 70 sasa tujue bahasha la A4 limebeba madude gani ndani
Aaaah acha akifungua tutajua kwenye muendelezo atupe yaliyomoHahahaha bahasha limejaa masimango
Iryn ni wivu tu unamsumbua hakuna upendo wowote kwa mwanamke mwenzie. Wanawake hamna huruma na yeyote linapokuja swala la mapenzi. Msikilize Sumaiya alivyokuwa anajiapiza kuwa lazima ampate mwambaYeah ni kweli Kabisa japo nyie wanaume inaonekana mmezidi[emoji3526]!
Iryn pia nimefurahi amejisimamia kwa manufaa ya familia ya mwanamke mwenzie!!
Mke/ mume wa mtu tena ambae yuko close na familia yake alooo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Yeah Iryn ana wivu sana hata kwa aliemkuta! Yani anataka ampiku kabisa mama mjengo!Iryn ni wivu tu unamsumbua hakuna upendo wowote kwa mwanamke mwenzie. Wanawake hamna huruma na yeyote linapokuja swala la mapenzi. Msikilize Sumaiya alivyokuwa anajiapiza kuwa lazima ampate mwamba
Kabisa cousin huku tunapata moja moto moja baridi!Team mama J tukutane pantaleo BBQ Kuna kikao 🤣🤣🤣🤣
That’s the reality 🥂😍Usiombe mwanamke apoteze hisia nawewe au aamue kukuignore kihisia aseee haturudigi nyuma kirahisi no matter what!
Na If it happens akaamua kurudi it takes time tofauti na nyie!
Wanaume wote tunajua mchepuko au bi mdogo wana wivu zaidi kuliko hata mke mkubwa.Yeah Iryn ana wivu sana hata kwa aliemkuta! Yani anataka ampiku kabisa mama mjengo!
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie!
Wee sema kweli!🤓!Wanaume wote tunajua mchepuko au bi mdogo wana wivu zaidi kuliko hata mke mkubwa.
Sure mamy.That’s the reality 🥂😍
Mchepuko au bi mdogo anamvumilia mke mkubwa tu. Simbilisi nyingine itakayokuja nyuma yake ni mwizi aliyekubuhu. Najua na wewe unalijua hili[emoji4][emoji4]Wee sema kweli![emoji851]!
Ndiomana kumbeee!