Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Iryn ni wivu tu unamsumbua hakuna upendo wowote kwa mwanamke mwenzie. Wanawake hamna huruma na yeyote linapokuja swala la mapenzi. Msikilize Sumaiya alivyokuwa anajiapiza kuwa lazima ampate mwamba
 
Iryn ni wivu tu unamsumbua hakuna upendo wowote kwa mwanamke mwenzie. Wanawake hamna huruma na yeyote linapokuja swala la mapenzi. Msikilize Sumaiya alivyokuwa anajiapiza kuwa lazima ampate mwamba
Yeah Iryn ana wivu sana hata kwa aliemkuta! Yani anataka ampiku kabisa mama mjengo!

Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie!
 
Usiombe mwanamke apoteze hisia nawewe au aamue kukuignore kihisia aseee haturudigi nyuma kirahisi no matter what!
Na If it happens akaamua kurudi it takes time tofauti na nyie!
That’s the reality 🥂😍
 
Iryn ni wivu tu unamsumbua hakuna upendo wowote kwa mwanamke mwenzie. Wanawake hamna huruma na yeyote linapokuja swala la mapenzi. Msikilize Sumaiya alivyokuwa anajiapiza kuwa lazima ampate mwamba
Afu kaongea shit mbele ya boss lady
 
Nilishasema hapa bwana INSIDER MAN

Mwaga hizo episode zote halafu potea isahau hii sredi .

Watu walianza tukanana humu hata sura hawajuani.

This time wanaanza chimba familia Yako wakihoji uhalali wa mkeo this is not right!!!.

Malizia hizo episodes upumzike na Hawa wajuaji wapumzike.
 
Kwa unachotaka unaweza hata ukakojoa kwa kusoma tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…