daniel lufumbula
Senior Member
- Oct 30, 2014
- 106
- 176
Noma sana mkuu naomba nitag huo uzi wa story uliyosemainsider we kiboko kwanza napo kukubali unaenda kwa mtiririko huchanganyi mambo pia unasoma coment za watu na unajib pale panapostahili kujibiwa saf sana ila nakufananisha na jamaa yupo kwene simulizi ya nilimzania kahaba kumbe bikira,,, inamuhusu roma ramon, ile nayo ni ya moto.
Mtu upo Kasulu unaomba namba ya Iryn..like serious??Naomba namba ya Ilyin
mkuu unamfananisha kwenye kona ipi, kwamaana roma ni tom*atomb*insider we kiboko kwanza napo kukubali unaenda kwa mtiririko huchanganyi mambo pia unasoma coment za watu na unajib pale panapostahili kujibiwa saf sana ila nakufananisha na jamaa yupo kwene simulizi ya nilimzania kahaba kumbe bikira,,, inamuhusu roma ramon, ile nayo ni ya moto.
hahahaha labda aombe picha ili apigie nyeto....Mtu upo Kasulu unaomba namba ya Iryn..like serious??
Natania.
asifate ushauri wa hizi team 2, deepond na rickboy, hawa jamaa ni mapepo kabisa pamoja na wafuasi wao wote, (jokes)"Hapa ndo nikajua kumbe nilikua nimewekewa mtego kama ningekua natabia za kifisi kama wale wazee wa kula Kimasihara bhasi kibarua kingeota nyasi."
Hapo team rikiboy ishakuweka katika namna ya kukupa maua yako yani wapo kikaoni lkn lengo kuu bado ngoja waendelee kukutazama vizuri kuliko mwanzo.
Team DeepPond badae watakuja kusema neno kuhusu prisca kama ingefaa kuwa mchepuko au ulizingua
Watu wa kiroho wanajua kabisa ulivyo mla iryn ndy mwisho wa kupata pesa mana ni jaribu lazima ufunge zipo hata kama mna vesha mkiwa wote.
Ngoja nimtag huyu kamanda hapa mana simuoni.
Analyse
Hutaki we na nani?Leo hatutaki ADDITIONAL mana zile ndo zinakuwaga za kweli afu hazinogi kuliko zenye kina Iryn...
Hivi kuna mtu ashamfikiria jiran yake Iryn kuja kuliwa kimasihara?
nakuona mzee wa "nukta",hahahaha
hahahaha labda aombe picha ili apigie nyeto....
Mazingira ya mke wako.ulishatuweka wazi ni ukali wa mke wako na udadisi ilikuake akuruhusu urudi nyumbani kwako ukiwa umebadilisha Nguo?Hakuna nilikosema natembea na nguo kwenye gari ila ile siku ambayo nilikwenda kwa Iryn ndo nilitembea na nguo kwenye gari za kubadilika, sababu nilijua tutatoka Out.
Siku za weekend nilikua nina tembea na sando kwenye gari, huwezi kuwa na viatu siku nzima mpaka usiku, pia sijawai kubadilishia nguo kwenye gari.
Nikiwa mme wa mtu siruhusiwi kubadilika kwenye gari?, hivi una fahamu kuna Uber ambao gari ndo makazi yake yaani anakopark ndo analala haphapo. Kuoga anakwenda kulipia, mambo ya kufua kuna watu wanafua nknk.
Sijachanganya mafile nachouliza je Iryn alipata wapi taarifa kuhusiana na binti wakibotswana.?Mkuu unachanganya mafile , Some conversation vizuri hapa. Utakua umeiruka hii Episode
View attachment 2696975
Mazingira ya mke wako.ulishatuweka wazi ni ukali wa mke wako na udadisi ilikuake akuruhusu urudi nyumbani kwako ukiwa umebadilisha Nguo?
Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
Amekuambia mke yupo kwao bada ya kumfuma na sms za Prisc
Mimi na wewe. afu punguza stress zako vizuri mzee.Hutaki we na nani?
Humu wengine ama baadhi tunajifunza hivyo hatuchagui topic ama content