daniel lufumbula
Senior Member
- Oct 30, 2014
- 106
- 176
insider we kiboko kwanza napo kukubali unaenda kwa mtiririko huchanganyi mambo pia unasoma coment za watu na unajib pale panapostahili kujibiwa saf sana ila nakufananisha na jamaa yupo kwene simulizi ya nilimzania kahaba kumbe bikira,,, inamuhusu roma ramon, ile nayo ni ya moto.