Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Amazing
 
INSIDER MAN hii je mtu akiwa ana ex na ameoa mwingine. Ex akaja akasema niliishi nae

mfano.. mwanaume mwenye mke now, na kwa miaka miwili huko nyuma aliishi na mwingine na wakachuma inakuwaje hapo!!!?

wapo watu hao wawili wameishi kwa zaidi ya miaka miwili mfululizo pamoja.
 
Hulu
Huu ni mtazamo kuliko uhalisia hujasema Sheria ya Ndoa Ipi na kifungu gani kinaeleza hivyo.
 
insider analeta porojo kwenye mambo ya ki sheria sidhani Kama anaelewa maana ya Ndoa ki sheria
 
UMETISHA...! Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…