maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
malizia ujinga wako tukusahau1.11.23
22:00
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
malizia ujinga wako tukusahau1.11.23
22:00
Mwambie atulie kwanza mpaka tutoke kanisani...Nimejua maana ya Arosto sasa 🙌
Mkuu INSIDER MAN hutuonei huruma hata sisi Wazee ndugu yangu🤪
Fanya kuachia Ep nyingine tupunguze Arosto, maana nilikuwa nimeshavaa miwani yangu ya macho kwaajili ya kusoma pamoja na Popcorn 🍿
Yeye mwenyewe saivi atakuwa Ibadani, akitoka anaweza kuja kuleta EP mojaMwambie atulie kwanza mpaka tutoke kanisani...
Umaarufu umekunogea....hapo utaleta episode za nyongeza ilimradi uzi uendelee kubaki relevant. Huoni jinsi watu wako wa karibu wanavyodhalilishwa humu sababu ya kuvuta kumaliza hiyo stori upo okay with that???1.11.23
22:00
Ulitaka nisijitoleze. INSIDER MAN anawadanganya tu. Hana lolote lile.Heee mara hii irine keshajitokeza[emoji38]
Acha ujuaji we Mangungo. Mbona Carl Petter alikudanganya?Wewe huwezi kuwa iryn
Labda Iryn wa RIVERSIDE
Alafu anaweka habari zangu bila Ruhusa yangu.Umaarufu umekunogea....hapo utaleta episode za nyongeza ilimradi uzi uendelee kubaki relevant. Huoni jinsi watu wako wa karibu wanavyodhalilishwa humu sababu ya kuvuta kumaliza hiyo stori upo okay with that???
Nini sasa kinachokuchekesha kama sio umbea.Hehehe
Nipajulie wapi hata hilo jina livokaa kigumu nalipendaga tu🤓!Unapajua Nyaki bi 2??
Bukoba hapoNipajulie wapi hata hilo jina livokaa kigumu nalipendaga tu[emoji851]!
Weee sema kweli???!!?Bukoba hapo
Acha ujuaji we Mangungo. Mbona Carl Petter alikudanganya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] kumbe huyu anayejiita iry wa insider ni dume ??Inasikitisha mwanaume unajiita Iryn hata huko nyuma hakuko salama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] kumbe huyu anayejiita iry wa insider ni dume ??
Bint mbna una kimuyemuye kila comment una jibu embu tulia Basi unajaza umbea tu humu ,alfu siyo kila comment unajibu na kuita ita watu ,mxiuuuuuNipajulie wapi hata hilo jina livokaa kigumu nalipendaga tu🤓!