karonga
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 681
- 1,128
Mchaga muibie mke au mume atakusamehe lkn sio pesaNmependa jinsi mama j anavyokusikiliza na kukutiii
Ni mwanamke asiye na makelele na anapenda maelewano na anajali zaidi amani yenu wote wawili kuliko red flags anazoziona kwako.
Sasa usichukulie poa utulivu wake kwa kumpiga matukio.