Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hatukatai kuwa ni true story, isipokuwa ni kwamba mwandishi kajaza chumvi nyingi Kama alivyosema nziriye kwa lengo la kunogesha story (kutokana na influence za wasomaji) pamoja na kuficha codes za wahusika.
 
Hatukatai kuwa ni true story, isipokuwa ni kwamba mwandishi kajaza chumvi nyingi Kama alivyosema nziriye kwa lengo la kunogesha story (kutokana na influence za wasomaji) pamoja na kuficha codes za wahusika.

Chumvi kama zipi?

Utuambie sehemu fulani ile ni chumvi sio kweli na utuambie ukweli ni nini. Hii story ingekuja katika mfumo ambao jamaa anateseka na maisha mwanzo mwisho msingesema chumvi wala chai.
 
.
 
Hivi kiwango cha mwisho cha kusafiri nacho kwenye ndege ni kiasi cha shilingi ngapi?? R.i.p Mr Pama alikuwa anajilipua kusafiri na zaidi ya Milioni 400 mkononi aiseee
 
Hivi kiwango cha mwisho cha kusafiri nacho kwenye ndege ni kiasi cha shilingi ngapi?? R.i.p Mr Pama alikuwa anajilipua kusafiri na zaidi ya Milioni 400 mkononi aiseee

No limit exists on how much money you can carry on a domestic or international flight. However, if you're travelling internationally, you should also be aware of the regulations in the country you're travelling to. Some countries may restrict the amount of money you can bring into the country.
 

Nope, there is a limit, be it local or international flight. The restriction is worldwide
 
Mimi nakaa buza kwa rulenge wakuu 🤣🤣🤣
 
Kila mtu anataka hela ila kila mtu ana level zake. Huwez kuwa unaingiza milion 5 kwa siku kwa mfano halafu ukaangaika na elfu 30 nk. Ndio maana unaweza kukuta kuna kazi naweza kufanya ila nampa mtu kwasababu nagawa riziki kwa wengine.
 
There is the limit mkuu, iwe domestically au internationally ingawa kila nchi ndio ina kiwango chake cha pesa unazoweza safiri nazo na kama zitazidi kiwango ni lazima utoe taarifa kwa mamlaka husika.
 
TZS 24m au $10,000 or equivalent, kwa sasa. Beyond that you declare extra amount and you will be grilled like a thieve
Sasa how come mtu asafiri na zaidi ya Millioni 400 kuingia Tanzania while kiwango ni 24M zaidi ya hapo utaonekana ni mtakatishaji fedha?? If ni special case let say alitoa taarifa kwa mamlaka husika bado unaweza sahau kiwango kama hicho kwenye uber?? Anyways i was thinking out the box [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Chai
 

Mkuu hizo 400m ni sawa na €150k ambazo ukigawanya kwa €100 ni sawa na noti 1500 ambazo ukizipanga kwa bunda zenye noti 100 ni sawa na bunda 15, zinabebeka vizuri kabisa.

Pama alikuwa anafanya biashara kuwa na hiko kiasi ni kawaidasana, kwa TZS unaona ni pesa nyingi sana ila ukipeleka kwa Euro ni pesa ndogo sana.

Kusahau ni kawaida mzee inadepend na mtu yuko kwenye hali gani au uchovu kiasi gani, kwa mtu kama Pama unakuta hio ni pesa ya matumizi tu. Ukiangalia Pesa anazo kwake yeye haoni kama anapesa,

Kitu kingine ukiwa na mtu unayemwamini kujiachia ni kawaida sana huwezi kuwa na mawazo, unajikuta upo sehemu salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…